Salamu zikufikie Mrisho Ngassa, Feitoto hawezi kurushiwa majini kwa sababu michezo hiyo yote kule kwao ndio nyumbani kwao

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini.

Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo.

Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama nakubishia mguse uone.Feitoto ana kinga ya kutosha.
 
Mcongo mgeni wa hayo mambo.......mbona watu wanasaka waganga wa congo,, nako huko noma
 
Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini.

Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo.

Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama nakubishia mguse uone.Feitoto ana kinga ya kutosha.
madunduka mnachukulia vitu visivyowahusu very siriaz wakati transformation ina mwaka wa 5 sasa mnashindwa kukamilisha, tutawakamatia hapo mpk mnye...polenii poleni,madunduka poleni,nyie makolo poleni,mbumbumbu poleni
 
Achaneni na hizo imani zenu potofu enyi wafuasi wa Mayele Majini.
 
Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini.

Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo.

Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama nakubishia mguse uone.Feitoto ana kinga ya kutosha.
Hao majini kwao faitoto walimuingia dada yako akavua nguo zote?
 
Back
Top Bottom