wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Hahahahaaa. LolPesa kula na mwenzio ni ngumu kipindi hiki mama la mama Shadeeya. Ila kama ni ww nitakupa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi bado hadi sasamishahara imetoka jana, kuna ambao hawakupata? Wastaafu , PPF etc or for that matter PSSSF bado
kuna tatizo na akaunti yako, nenda benki unakopokelea mshahara uwaulize
kuna tatizo na akaunti yako, nenda benki unakopokelea mshahara uwaulize
Tulia Mkuu subiri angalau SAA 72 zipite ndiio uanze kufuatilia unajua mishahara yenu huwa tuna allocate kwenye Account zenu kwa kutumia mfumo maalum ulioboreshwa zaidi, pesa itaingia muda wowote ndani ya izo saa. yatosha kusema hivyo
Jamaa kakimbia mazima
Mkuu temea mate chini, hilo balaa hata kwa mfano wa kimzaha halitakiwi kutolea!Bado zoezi la uhakiki wa wafanyakazi hewa na vyeti feki linaendelea. Ukiona hujapata mshahara hadi sasa jua ulirukwa katika hawamu za hawali sasa wamekudaka!
Kwa hiyo wafanyabiashara wote wanachinja ng'ombe 4 na wanaingiza 2-2.8 milioni kwa siku, basi hongereni wafanyabiasharaHuwezi kushindana na mfanyabishara Wewe mwajiriwa, mwenzako anachinja n'gombe wanne kwa siku which means anaingiza milioni 2-2.8 , wakati ww unaingiza laki 7,8,9 tena kwa mwezi!
Nimeona kuna mtu anashangilia kupandishwa hadi daraja F ambaye haizid 2M
Asante sana mkuu nyie endeleeni na kuwa watumwa wa mshahara sisi ni watumwa wa 'faida 'Kwa hiyo wafanyabiashara wote wanachinja ng'ombe 4 na wanaingiza 2-2.8 milioni kwa siku, basi hongereni wafanyabiashara
omura wetuu