Salary out Dec 2019

Salary out Dec 2019

Tatitizo nini huko benk?, asilimia kubwa ya watumishi washapata haki yao ya kazi. Baada ya kuwahudumia wananchi vizuri.

Nashangaa wengine bado sasa tuko hapa tunafikiria tatizo ni nini? Huko benk? Au sisi hatuna sifa ya kupata mshahara?.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mishahara imetoka jana, kuna ambao hawakupata? Wastaafu , PPF etc or for that matter PSSSF bado
 
Bado zoezi la uhakiki wa wafanyakazi hewa na vyeti feki linaendelea. Ukiona hujapata mshahara hadi sasa jua ulirukwa katika hawamu za hawali sasa wamekudaka!
 
Hahahhah! Niliwahi kuajiliwa miaka kadhaa tukawa tunataniana eti hivi mara paaap! Mshahara wako unazuiwa na unafukuzwa kazi kwa kosa la kuzushiwa au vyovyote vile?? Nakuambia woote walisema wangekufa kwa mshtuka na pressure! Jamani waajiriwa wakati mwingine tuwe tunajiongeza hakuna hajuaye kesho yake!
 
Huwezi kushindana na mfanyabishara Wewe mwajiriwa, mwenzako anachinja n'gombe wanne kwa siku which means anaingiza milioni 2-2.8 , wakati ww unaingiza laki 7,8,9 tena kwa mwezi!
Nimeona kuna mtu anashangilia kupandishwa hadi daraja F ambaye haizid 2M
Kwa hiyo wafanyabiashara wote wanachinja ng'ombe 4 na wanaingiza 2-2.8 milioni kwa siku, basi hongereni wafanyabiashara
 
Kwa hiyo wafanyabiashara wote wanachinja ng'ombe 4 na wanaingiza 2-2.8 milioni kwa siku, basi hongereni wafanyabiashara
Asante sana mkuu nyie endeleeni na kuwa watumwa wa mshahara sisi ni watumwa wa 'faida '
 
Back
Top Bottom