Dah! Wallah usije Mjini....mjini muhuri bureeee labda raia akutoe 2k ya soda, hela zipo kwa wale madereva wanaogonga huko wanakuwa wanataka barua za utambulisho wa wadhamini waende mahakamani fasta fasta [emoji23][emoji23]
Kitu kimetoka. Nachekelea tu hapa ofisini.
Ndiyo Tanzania tuliyo nayo!Hureeeeee nimepanda na darajaaaaa kitu cha F ...Watu pigaaaa keleleeeee
Demiss fanya nikopeshe elfu 50
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umepata laki mbili yako. Nawaonea huruma sana watendaji wa kata, hiyo hela naingiza kwa siku Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila dushe unalipenda zaidi![emoji41][emoji41][emoji41]Waoooooooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwaaah mshahara huwa nakupenda sana jaman mwaaah mwaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mshahara unakaa kwetu siku mbili tu unrudi ulikotokaWaoooooooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwaaah mshahara huwa nakupenda sana jaman mwaaah mwaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Wastaafu wa NSSF mpaka baada ya Krismasi.Habali
Kwa wale watumishi watiifu mshahara wenu umetoka mzee baba kawawaishia tarehe 5jan 2020 mtakuwa mmechoka hatarii.Muwe waangalifu happy holiday.
Mkuuu kizuri sio pesaAhsante mdogo wa mie. Naona mnataka kutunyong'onyeza kina sio ambao mishahara yetu mpaka tarehe 08 na kuendelea mwakani.
Haya bana. Mutualike tu sasa mana wanasema kizuri kula na nduguyo.
Ni 0-20 oooooh sorry kumbe unaulizia mshaharaNami naomba nikupongeze mkuu...
Hivi daraja F salary inaanzia ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Lol.Aaah jaman hata kama napokea 70000 ni jasho langu wanatokwa povu la nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika Mkuu ila hapa ndio inayozungumziwa hiyo pesa.