Salary out Dec 2019

Salary out Dec 2019

Huku kuna mkwanja kama wote hakuna cha bureeee mhuri au barua lazima zikutoke.

Mkikaa kwenye kesi meza mnalipa si chin ya laki.

Mgamb akikukamata kwa kosa 50000 lazima ikutoke aaah.
Dah! Wallah usije Mjini....mjini muhuri bureeee labda raia akutoe 2k ya soda, hela zipo kwa wale madereva wanaogonga huko wanakuwa wanataka barua za utambulisho wa wadhamini waende mahakamani fasta fasta [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msisahau kuwapa maafisa Utumishi wenu jappo beer moja kwa kazi nzuri ya haraka.
 
Wakuu.

Mshahara umetoka leo Disemba 20 ,2019. Ni jambo jema sana , mshahara umewahi siku 5 kabla ya sikukuu ya xmas na baadae Mwaka Mpya.

Mpaka ifike Disemba 25 watu watakuwa hawana kitu kabisa, sikukuu itakuwa nvumu kuliko. Mwaka Mpya utapita kama j4 , j5 ya kawaida kabisa ya ugali maharage..

Ukitaka kununua gari ama kiwanja kwa bei rahisi , tega january 4 mpaka 15. Watu wanakuwa na mali halafu matatizo kibao na hawana hela kabisa.

Tunza hela vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi hayo mambo hayapo, watu hawauzi mali kwa sababu ya shida wanakopa! Kwa kuwa wewe ni mpenzi wa vitu used miezi mizuri ya kununua ni March, July, November na September.
Utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom