Salary out Dec 2019

Na hao bodaboda, makondakta kuna wanao ingiza kwa siku hadi 40,000/= wanawazidi watumishi wa umma wenye degree wanaofanya kazi serikali za mitaa wa (sociology, public administration, political science, social work,education,psychology, community development, accounting, finance) ambao wananza na laki 7 ukikata makato ya kawaida +bodi wanabaki na laki 4!
 
Nawashangaa sana wanaoshangaa watu wanaopata mishahara .... Ndugu kama wewe mjasiriamali heri tupu, kama mkulima well n good, kama mfugaji hewala .... Hiyo ndio tunaita SPCIALIZATION/DIVISION OF LABOR hatuwezi wote kufanya shughuli moja.
Baelezee bakuelewe!
 
Sikukuu njema ndugu zangu watumishi wa umma na mnapaswa kupongezwa kwakulitumikia taifa lenu kwa uwadilifu... Mshahara ni wajibu wa serikali iwalipe ila round hii muende mdogo mdogo ndo kwanza tarehe 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ni mwendo wa kuwaringishia wafanyabiashara, unajifanya unataka kununua nyama mara unaghairi, ukienda kwenye duka kununua sukari unaghairi tena, hadi wakome kuwasema wafanyakazi.
Huwezi kushindana na mfanyabishara Wewe mwajiriwa, mwenzako anachinja n'gombe wanne kwa siku which means anaingiza milioni 2-2.8 , wakati ww unaingiza laki 7,8,9 tena kwa mwezi!
Nimeona kuna mtu anashangilia kupandishwa hadi daraja F ambaye haizid 2M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…