101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,221
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hao bodaboda, makondakta kuna wanao ingiza kwa siku hadi 40,000/= wanawazidi watumishi wa umma wenye degree wanaofanya kazi serikali za mitaa wa (sociology, public administration, political science, social work,education,psychology, community development, accounting, finance) ambao wananza na laki 7 ukikata makato ya kawaida +bodi wanabaki na laki 4!Dogo nimechati na Demis vizuri tu, wewe umeibukia na kibundle chako cha mkopo unajifanya kuniweka kundi la waendesha bodaboda, uwe unasoma na kuelewa siyo kukurupuka tu, au uliambiwa bodaboda ni mtu maskini sana hajui mshahara? Kwa taarifa yako kuna watu ni watumishi na wanaendesha bodaboda baada ya muda wa kazi.
Baelezee bakuelewe!Nawashangaa sana wanaoshangaa watu wanaopata mishahara .... Ndugu kama wewe mjasiriamali heri tupu, kama mkulima well n good, kama mfugaji hewala .... Hiyo ndio tunaita SPCIALIZATION/DIVISION OF LABOR hatuwezi wote kufanya shughuli moja.
Hureeeeee nimepanda na darajaaaaa kitu cha F ...Watu pigaaaa keleleeeee
Sio MEK tu.... Ni VEO mbona unanipa vyeo sio vyangu ...... Pole sana malimao kisado yanakutosha kushusha hiyo nyongo ....
[emoji23][emoji23] kwaaakwaaakwwaa
Huwezi kushindana na mfanyabishara Wewe mwajiriwa, mwenzako anachinja n'gombe wanne kwa siku which means anaingiza milioni 2-2.8 , wakati ww unaingiza laki 7,8,9 tena kwa mwezi!Leo ni mwendo wa kuwaringishia wafanyabiashara, unajifanya unataka kununua nyama mara unaghairi, ukienda kwenye duka kununua sukari unaghairi tena, hadi wakome kuwasema wafanyakazi.
VEO Una michamboSio MEK tu.... Ni VEO mbona unanipa vyeo sio vyangu ...... Pole sana malimao kisado yanakutosha kushusha hiyo nyongo ....
Ngoja niuache kwanza nitaufata baada ya tarehe 1 ,wengine watakuwa wamefulia na mm natumia kujinafac
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] kwaaakwaaakwwaa
Yaani anatakiwa apige konde moyo mara tatu tiiii tiiii tiii huku akisema Mungu nisaidie mshirikina mimi.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah sio poa
Jomoni😬😬 WTF,