Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Leo wafanyakazi wameanza kwa Uzi wa furaha! Tumezoea wa majonzi mshahara umechelewa! Ongereni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshapata company yakuutumia au bado vurugu zinaanza tarehe 23?Mnaobishaaa ushahidi huo hapooo weraaaaaaaaView attachment 1298152
Sent using Jamii Forums mobile app
sisi wafanyabiashara nasi tuna furaha sana maana biashara zetu zitachangamka sana yani sana, anaetoa mapovu huyo si mwenzetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umepata laki mbili yako. Nawaonea huruma sana watendaji wa kata, hiyo hela naingiza kwa siku Mimi.Mnaobishaaa ushahidi huo hapooo weraaaaaaaaView attachment 1298152
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kutumaliza kabisa mdogo. [emoji28][emoji28]
Leo wafanyakazi wameanza kwa Uzi wa furaha! Tumezoea wa majonzi mshahara umechelewa! Ongereni!
Naona umepata laki mbili yako. Nawaonea huruma sana watendaji wa kata, hiyo hela naingiza kwa siku Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
tena wale watumishi wa Dodoma wanaorudi kula sherehe Dar huo mshahara haufiki hata boxing day.
Nami naomba nikupongeze mkuu...Hureeeeee nimepanda na darajaaaaa kitu cha F ...Watu pigaaaa keleleeeee
Nami naomba nikupongeze mkuu...
Hivi daraja F salary inaanzia ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakomenti kwenye Moonthly...
Afu kweli! Wabeja Sana mama ntendaji? [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli mm Nina hela wewe asikwambie mtu nikigonga tu mhuri mmoja 50000 inakutoka mara 10 Nina sh ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Wallah usije Mjini....mjini muhuri bureeee labda raia akutoe 2k ya soda, hela zipo kwa wale madereva wanaogonga huko wanakuwa wanataka barua za utambulisho wa wadhamini waende mahakamani fasta fasta 😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli mm Nina hela wewe asikwambie mtu nikigonga tu mhuri mmoja 50000 inakutoka mara 10 Nina sh ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaahahaHabali
Kwa wale watumishi watiifu mshahara wenu umetoka mzee baba kawawaishia tarehe 5jan 2020 mtakuwa mmechoka hatarii.Muwe waangalifu happy holiday.
Afu kweli! Wabeja Sana mama ntendaji? [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app