Salary out Dec 2019

Salary out Dec 2019

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli mm Nina hela wewe asikwambie mtu nikigonga tu mhuri mmoja 50000 inakutoka mara 10 Nina sh ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona umepata laki mbili yako. Nawaonea huruma sana watendaji wa kata, hiyo hela naingiza kwa siku Mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli mm Nina hela wewe asikwambie mtu nikigonga tu mhuri mmoja 50000 inakutoka mara 10 Nina sh ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Afu kweli! Wabeja Sana mama ntendaji? [emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli mm Nina hela wewe asikwambie mtu nikigonga tu mhuri mmoja 50000 inakutoka mara 10 Nina sh ngapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Wallah usije Mjini....mjini muhuri bureeee labda raia akutoe 2k ya soda, hela zipo kwa wale madereva wanaogonga huko wanakuwa wanataka barua za utambulisho wa wadhamini waende mahakamani fasta fasta 😂😂
 
Back
Top Bottom