Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Mbona bado mkuu maana mimi pia nipo kwenye shirika la ummamoja ya mashirika ya umma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona bado mkuu maana mimi pia nipo kwenye shirika la ummamoja ya mashirika ya umma
Cheki salary advance alert kama wameshakata chao ndiyo utajua ngoma imeshawekwa
Madeni ni mengi kuliko tunachopokea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji1787][emoji1787]Ahaahahahah aiseee yani kesho sjna kituuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
ila dushe unalipenda zaidi![emoji41][emoji41][emoji41]
Wifi yako kamiliki kadi ya ATM kabisa
Mhg [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wifi yako kamiliki kadi ya ATM kabisa
Habali
Kwa wale watumishi watiifu mshahara wenu umetoka mzee baba kawawaishia tarehe 5jan 2020 mtakuwa mmechoka hatarii.Muwe waangalifu happy holiday.
Ndio hivyo anipunguzie makadi kwenye pochi yangu maana yanazeesha pochi sanaMhg [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumikia wap