Salary out Dec 2019

Salary out Dec 2019

Naona umepata laki mbili yako. Nawaonea huruma sana watendaji wa kata, hiyo hela naingiza kwa siku Mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee
Screenshot_20191220-183343.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa sana wanaoshangaa watu wanaopata mishahara .... Ndugu kama wewe mjasiriamali heri tupu, kama mkulima well n good, kama mfugaji hewala .... Hiyo ndio tunaita SPCIALIZATION/DIVISION OF LABOR hatuwezi wote kufanya shughuli moja.
 
Ni haki yake sababu anawajibika,hivi mnaoendesha bodaboda huwa mnajionaje labda? Kila mtu anachofanya ndicho anakitegemea,sasa unaachaje kutegemea product ya ufanyacho??
Wonderful.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dogo nimechati na Demis vizuri tu, wewe umeibukia na kibundle chako cha mkopo unajifanya kuniweka kundi la waendesha bodaboda, uwe unasoma na kuelewa siyo kukurupuka tu, au uliambiwa bodaboda ni mtu maskini sana hajui mshahara? Kwa taarifa yako kuna watu ni watumishi na wanaendesha bodaboda baada ya muda wa kazi.
 
Nawashangaa sana wanaoshangaa watu wanaopata mishahara .... Ndugu kama wewe mjasiriamali heri tupu, kama mkulima well n good, kama mfugaji hewala .... Hiyo ndio tunaita SPCIALIZATION/DIVISION OF LABOR hatuwezi wote kufanya shughuli moja.
Sasa msipanic kisa mshahara umeingia? Kwan mkitulia kuna shida gani?
 
Uzi maalum wa hali zetu za kiuchumi na fedha je Christmas ba January tutaboa ?

Wengine ni wajasiriamali
Wengine ni waajiriwa mshahara 150k,250k,300k na kadhalika
Au ndo train limetupunguzia ukali wa maisha
Tumeachana na ubungo terminal figisufigisu za nauli

Tutiririke hapa hali zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom