Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa email tu kwa email yako halisi ulio fungulia akaunt hyo na data zako wao watakutumia link ya kurest hyo passwordHabari wana JF. Samahani, naomba kama kuna mwenye kufahamu iwapo mtu amesahau password ya kwenye account ya Salary slip portal afanyeje. Maana namba yao waliyoweka kwenye website yao haipokelewi.
Natanguliza shukran.
Mbona website Yao ya kutolea salaryslip haifunguki Kama miezi mitatu iliyopita Wana tatizo Gani? Kama Kuna namna nyingine ya kupata salaryslip tujulishane tafadhali.Wa email tu kwa email yako halisi ulio fungulia akaunt hyo na data zako wao watakutumia link ya kurest hyo password
Watu mbona wanatumia Kama kawa bila tatizoMbona website Yao ya kutolea salaryslip haifunguki Kama miezi mitatu iliyopita Wana tatizo Gani? Kama Kuna namna nyingine ya kupata salaryslip tujulishane tafadhali.
Ok. Nitajaribu kuingia Leo.Watu mbona wanatumia Kama kawa bila tatizo
Bofya hapo mbele ilikoandikwa "forgot password" then fanya kama utakavyoelekezwa ili utumiwe link kwa ajili ya password recovery.Habari wana JF.
Samahani, naomba kama kuna mwenye kufahamu iwapo mtu amesahau password ya kwenye account ya Salary slip portal afanyeje. Maana namba yao waliyoweka kwenye website yao haipokelewi.
Natanguliza shukrani.
Nimefanya hivyo lakini mpaka sasa hakuna majibu/ mail yoyote kutoka kwaoBofya hapo mbele ilikoandikwa "forgot password" then fanya kama utakavyoelekezwa ili utumiwe link kwa ajili ya password recovery.
Ahsante.