Salary slip portal

Salary slip portal

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
111
Habari wana JF.

Samahani, naomba kama kuna mwenye kufahamu iwapo mtu amesahau password ya kwenye account ya Salary slip portal afanyeje. Maana namba yao waliyoweka kwenye website yao haipokelewi.

Natanguliza shukrani.
 
Niko na wewe kwenye hili napata wakati mgumu sana afisa utumishi nae aliniambia piga hiyo namba ukipiga hola
 
Habari wana JF. Samahani, naomba kama kuna mwenye kufahamu iwapo mtu amesahau password ya kwenye account ya Salary slip portal afanyeje. Maana namba yao waliyoweka kwenye website yao haipokelewi.
Natanguliza shukran.
Wa email tu kwa email yako halisi ulio fungulia akaunt hyo na data zako wao watakutumia link ya kurest hyo password
 
Wa email tu kwa email yako halisi ulio fungulia akaunt hyo na data zako wao watakutumia link ya kurest hyo password
Mbona website Yao ya kutolea salaryslip haifunguki Kama miezi mitatu iliyopita Wana tatizo Gani? Kama Kuna namna nyingine ya kupata salaryslip tujulishane tafadhali.
 
Mbona website Yao ya kutolea salaryslip haifunguki Kama miezi mitatu iliyopita Wana tatizo Gani? Kama Kuna namna nyingine ya kupata salaryslip tujulishane tafadhali.
Watu mbona wanatumia Kama kawa bila tatizo
 
Habari wana JF.

Samahani, naomba kama kuna mwenye kufahamu iwapo mtu amesahau password ya kwenye account ya Salary slip portal afanyeje. Maana namba yao waliyoweka kwenye website yao haipokelewi.

Natanguliza shukrani.
Bofya hapo mbele ilikoandikwa "forgot password" then fanya kama utakavyoelekezwa ili utumiwe link kwa ajili ya password recovery.

Ahsante.
 
Bofya hapo mbele ilikoandikwa "forgot password" then fanya kama utakavyoelekezwa ili utumiwe link kwa ajili ya password recovery.

Ahsante.
Nimefanya hivyo lakini mpaka sasa hakuna majibu/ mail yoyote kutoka kwao
 
Kama umesahau email imekula kwako. Kumbuka emails uliyofungulia account then nenda kwenye Forget?
 
Back
Top Bottom