BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
- #41
Hio m.45 kodi yote ishakatwa mkuu.Unajua kodi anayokatwa katika huo mshahara? Utilities na mambo mengine kama siyo mwangalifu mwisho wa mwezi hana kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio m.45 kodi yote ishakatwa mkuu.Unajua kodi anayokatwa katika huo mshahara? Utilities na mambo mengine kama siyo mwangalifu mwisho wa mwezi hana kitu
Anko ngasa analipwa 5600$ sawa na miliom 12 za bongo. Gari na nyumba bure.Vipi kuhusu uncle Mrisho Khalfan Ngasa,au ndo wabongo tushampotezea kama kawaida yetu.
Tp mazembe 15000$Angekuwa Ruby angeikataa hata kama ameshasaini mkataba.
SWALI:Huko TP Mazembe alikuwa ana-make kiasi gani?
Yawezekana Hasheem bado anampiku Samatta hata hilo daraja alilopo hivi sasa.
Kodi ni ya serikali ya ubelgiji mkuu huez hesabia mshahara wa mtu ukiweka na kodi mana kodi sio.yake hesabia anachoondoka nacho mkononi.Sio milioni 45 ni milioni 79 kwa mwezi kabla ya kodi
yupo njiani bado anatafuta kuna siku atakuja kua bilionea!Kumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???
Nakumbuka ana housegirl wa kizungu sijajua upande wa girlfriend bado ujenzi unaondelea sijajua personal tabia yake akiwa kiwanja bar nk kama anazungushaga round, hela kwenye uchumi tunasema haitoshi siku zoteKumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???
Hashim alikuwa anapa $ laki moja,kwa mweziKatika pitapita zangu kwenye mitandao nlikua curious kujua ndugu yetu na mtanzania mwenzetu kijana wetu na ambae ana inspire vijana wengi katika kutia juhudi na kufanikiwa kimaisha, mbwana samata,hapo alipo kwa mwezi anapokea kiasi cha Tsh.45,000,000/= kwa exchange rate ya siku ya leo ya euro mana they are paid in euro's. Its lot of money if you ask me for a tanzanian player like him playing abroad.
Anyway hio ni kwa samatta. Sijamskia kabisa braza hasheem thabit mana ndo alikua anaongoza kwa tanzania sports players ambao wanalipwa pesa ndefu. Embu tujuzwe alipo.huyu bwana mdogo.
Ni safari siyo tukio. Ameingia Ulaya bado hajafika.Hiyo hela ndogo sana kwa ule mpira mkubwa anaopiga pale. Hiyo hela hata azam wanaweza kumpa hapa bongo
Unaingiza sh ngap mkuu kwa mwaka?(no hard feelings)
Acha ujinga HV watu mnahisi ulaya gharama kiivyo.. Gharama za ulaya ukitaka makuu ila kuishi kawaida ni kama bongo tuuKumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???
Umeshawahi ishi ulayaUnajua kodi anayokatwa katika huo mshahara? Utilities na mambo mengine kama siyo mwangalifu mwisho wa mwezi hana kitu
ona kuna wemgine wanachukua kama 35 kwa mwezi huku ukiangalia mayumizi hata 5 milion haiishiKumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???
Hapana mkuu. Ni ile longo longo ya Wabongo kujifanya tunajua kila kitu nami nimefuata mkumbo tu. Nasikiaga tu [emoji16][emoji16][emoji16]Umeshawahi ishi ulaya