Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Unajua kodi anayokatwa katika huo mshahara? Utilities na mambo mengine kama siyo mwangalifu mwisho wa mwezi hana kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha gani sijui kama wachezaji wana bata sana kusema iishe yoteEquivalent ya $20k, Ni ndogo kwa maisha ya mchezaji wa ligi kuu ulaya, but ,.congrats to him...
Samatta Ana bidii Sana uki compare Na Hawa wa matopeni hapo Kariakoo,,,,
Duh! Kwa viwango vya ligi kuu za majuu naona wanamlipa pesa ndogo sana. Hiyo si ni sawa na Euro 18,000 kwa mwezi? Nadhani wanatakiwa wamwongezee. ngalau kuwango hicho kiwe kwa wiki, si kwa mwezi.Katika pitapita zangu kwenye mitandao nlikua curious kujua ndugu yetu na mtanzania mwenzetu kijana wetu na ambae ana inspire vijana wengi katika kutia juhudi na kufanikiwa kimaisha, mbwana samata,hapo alipo kwa mwezi anapokea kiasi cha Tsh.45,000,000/= kwa exchange rate ya siku ya leo ya euro mana they are paid in euro's. Its lot of money if you ask me for a tanzanian player like him playing abroad.
Anyway hio ni kwa samatta. Sijamskia kabisa braza hasheem thabit mana ndo alikua anaongoza kwa tanzania sports players ambao wanalipwa pesa ndefu. Embu tujuzwe alipo.huyu bwana mdogo.
1. Tunajaribu kulinganisha na hali ya maisha ilivyo juu ulaya, tena kwa mastaaUnaingiza sh ngap mkuu kwa mwaka?(no hard feelings)
Lwa mwezi mili50Vipi na maisha anayoishi...kwa ufahamu wangu mshahara unalipwa kulingana na gharama za maisha....unaweza kuta anatumia kwa mwezi milioni 40
Tsh.75 milioni,kwa mwaka.Unaingiza sh ngap mkuu kwa mwaka?(no hard feelings)
Katika pitapita zangu kwenye mitandao nlikua curious kujua ndugu yetu na mtanzania mwenzetu kijana wetu na ambae ana inspire vijana wengi katika kutia juhudi na kufanikiwa kimaisha, mbwana samata,hapo alipo kwa mwezi anapokea kiasi cha Tsh.45,000,000/= kwa exchange rate ya siku ya leo ya euro mana they are paid in euro's. Its lot of money if you ask me for a tanzanian player like him playing abroad.
Anyway hio ni kwa samatta. Sijamskia kabisa braza hasheem thabit mana ndo alikua anaongoza kwa tanzania sports players ambao wanalipwa pesa ndefu. Embu tujuzwe alipo.huyu bwana mdogo.
Mbona hii ya miaka miwili iliyopita, jamaa zilipendwa siku nyingi tuu mbona.Nimejaribu kuchek ya hasheem thabeet, it was his last contract in 2014, average salary per year ni 2.3 billion Tsh. Dah sasa najiuliza ama wadau mnisaidie sjaona investment yoyote aliyofanya hizo hela zote, na nimesoma pia amepelekwa ligi daraja D ambapo naona kama yuko ktk.majaribio na timu moja hivi