Salary ya Mbwana Samatta

Angekuwa Ruby angeikataa hata kama ameshasaini mkataba.

SWALI:Huko TP Mazembe alikuwa ana-make kiasi gani?

Yawezekana Hasheem bado anampiku Samatta hata hilo daraja alilopo hivi sasa.
Tp mazembe 15000$
 
Sio milioni 45 ni milioni 79 kwa mwezi kabla ya kodi
Kodi ni ya serikali ya ubelgiji mkuu huez hesabia mshahara wa mtu ukiweka na kodi mana kodi sio.yake hesabia anachoondoka nacho mkononi.
 
Mnamsemea wakati yeye hajasema!? Pesa ndogo, ndogo unajua nini kuhusu matumizi yake na mkataba wake? Wewe mke wake? Acheni kumvunja mtu moyo wakati ile kwake ni njia ya kelekea level nyingine. Ndio maana wengi tunafeli katika maisha.unaweza kuanza na kidogo ukafikia kikubwa, na hapo ndio kwenye nidhamu. Kitambaa hakiwezi kuwa suti bila ya kukatwa katwa. Hasheem alianza na kile mnachotaka nyinyi kiko wapi? Kuituliza pesa bila ya nidhamu ni sawa na choo bila tundu, lazima uchafue mazingira.. SAMMATA fanya unacho fanya ila kaa kwenye hiyo hiyo key.. Ipo siku song lako litasomeka zaidi. Kuna mtu hata nielewa ila huyo ni ali na masala ga nkokooo.
 
Kumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???
yupo njiani bado anatafuta kuna siku atakuja kua bilionea!
 
Watu wanasema pesa kidogo, inabidi uangalie na nchi yenyewe na ligi yenyewe pia, hizo pesa ni ndogo ukilinganisha na ligi ya uingereza au spain, ila kibongo bongo hizo hela ni nyingi....unaweza kuta huo mji anaoishi hauna gharama kiviiiileeee.....
 
Kumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???
Nakumbuka ana housegirl wa kizungu sijajua upande wa girlfriend bado ujenzi unaondelea sijajua personal tabia yake akiwa kiwanja bar nk kama anazungushaga round, hela kwenye uchumi tunasema haitoshi siku zote
 
Samatta anacheza Jupile League na mshahara huo ni kawaida tu. Kwavile kaonyesha uwezo akipewa mkataba mpya anaweza kula Bingo. Hata hivyo hizo hela bado nyingi Sana. Na gharama za maisha Belgium ni poa compared na viwanja vingine lazima Ana make nyingi tu.
 
Hashim alikuwa anapa $ laki moja,kwa mwezi
 
Anapata na bonasi japo haivuki mil 70 plus mshahara. Si mbaya kwa kuanzia. Atavuka hapo soon. Hasheem ni upuuzi kwa tunaomjua. Aliridhika na kuondoa juhudi. Ila kwa pesa alizovuna mpaka sasa hatokufa njaa hata akiacha basket leo.
 
Ndio maana aliivunja nyumba yake iliyokamilika kujengwa ili aijenge upya... chezea fedha wewe na hata bima hakukata
 
Kumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???
Acha ujinga HV watu mnahisi ulaya gharama kiivyo.. Gharama za ulaya ukitaka makuu ila kuishi kawaida ni kama bongo tuu
 
mb
Kumbe ni pesa ndogo sana anayochukua,mimi nilidhani yupo kwenye 100m huko.Sasa kwa pesa hiyo ukitoa na matumizi yote anabaki na chenji ngapi,waweza kukuta hata 1m haifiki ???
ona kuna wemgine wanachukua kama 35 kwa mwezi huku ukiangalia mayumizi hata 5 milion haiishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…