TZINVESTOR
Senior Member
- May 29, 2014
- 106
- 23
Leteni habari zao walipo na impact yao. Ningeongeza Unique Sisters na makundi mengine yaliyokuwa yanavuma 1990-2000
Itakuwa si vibaya mkatupa habari za kumbi kama Langata, gazeti la Sani, akina Ibrahim Washokera, Bejus store kariakoo....beach party Msasani,
Hapa unakoroga mambo tu ni mchanganyiko mkali kama wa konyagi na bangi.
Ina maana wewe gazeti la sani hulioni kwenye vibanda vya wauza magazeti au online?
Hivi Nigger 1 na Profesa Jay ni watu wawili tofauti? Sina kumbukumbu maana zamani kila Rapper ni Nigger.

MKUU NIGGER 1 NI J HUYO HUYO...ukiskiliza ngoma mpya ya professor j kuna j watatu mule...namkubali nigger j zaidi alie kuwa anatafta kick ya kutokaHapa unakoroga mambo tu ni mchanganyiko mkali kama wa konyagi na bangi.
Ina maana wewe gazeti la sani hulioni kwenye vibanda vya wauza magazeti au online?
Hivi Nigger 1 na Profesa Jay ni watu wawili tofauti? Sina kumbukumbu maana zamani kila Rapper ni Nigger.
MKUU NIGGER 1 NI J HUYO HUYO...ukiskiliza ngoma mpya ya professor j kuna j watatu mule...namkubali nigger j zaidi alie kuwa anatafta kick ya kutoka
Huu uzi uunganishwe na ule wa zamani.
View attachment 187473
Na sie watu wa dance hatukuwa nyuma
Doul soul
Rap Nature-aloimba mpiga debe
Big Doggy Pose
Caz T
Snare
Boys With Voice(BWV)
Enzi hizo nick name yangu pompidou
Maskani ipo salamanda corner hapo utakutana na wasanii kibao Akina sugu aka 2proud,buzz Malone,Afande Sele kabla hajaanza kuimba.......etc
Salamander kwa akina Godfrey...carl lewis...lugano...ngazi tano...au ?