Saleh Jabir, Diplomatz, Nigga 1 & mambo ya 1990's

Saleh Jabir, Diplomatz, Nigga 1 & mambo ya 1990's

Dah story za humu tamu yaani natamani ningekuwapo pande zile. Ingawa niliwahi kumuona Easy B "Bernard Luanda" wa Kwanza Unit nyumbani kwao Sinza Kijitonyama nimetoka shule Mapambano na mwanafunzi mwenzangu ndio ananionesha Yule ndio Easy B. Dah wacha nimshangae maana nilikuwa nsmsikia kwa radio tu 1992 hiyo.
Hivi walifanikiwa kipindi kile financially???? Nasikia muziki ulikuwa unalipa kipindi kile
 
Kuna jamaa walitoa album yakuitwa THE KILA KITU ni wakina nani hao na je bado wapo? Maana kipindi mi nakua nazisikiliza nyimbo zao siku hizi wanaita cover ila wao walikua wanabadilisha maneno ktk melod na beet ile ile..........
 
SoS B..kukuru kakara zako,Rough Nigers kutokea Tanga enzi hizo,GWM cheza mbali na kasheshe,Diplomat,oya msela oya ya Othman Njaidi,ma djs walikuaga akina mike mhagama..aiseee long time sana jamen
 
D.Rob due to security reasons siwezi kufunguka sana si unajua na yeye alikuwa mtoto wa Vitoto, maana mchizi yule alikuwa anachanganya watoto wa kizungu wanafunzi wa ist, wabongo wakishua mpaka vicheche vya kinondoni ss unategemea nini? Inaweza ikawa CD zimepungua plus ngada ndio nitolee
*** Usichanganywe na story kaka me ni she sema nimekuwa na kaka zangu ss hawa ndio walikuwa wajanja wa enzi hizo
Du Kumbe Ugonjwa wa "KIFUA" Ulianza Kuwaua Wasanii Kitambo kumbe.
 
SoS B..kukuru kakara zako,Rough Nigers kutokea Tanga enzi hizo,GWM cheza mbali na kasheshe,Diplomat,oya msela oya ya Othman Njaidi,ma djs walikuaga akina mike mhagama..aiseee long time sana jamen
sos b ngoma ya nwisho nafikiri ni ikibidivyo..diplomats na usipendelependele bwimbwi tz si bwimbwi..gwm hawajawahi toa ngoma Kali kama yamenikuta
 
Sijaona mkimzungumzia soggy doggy hunter, live with purpose (LWP), Father nelly mzee wa ushanta. Wakati huo salama jabir kwenye video ya SOS b ndio kwanza maziwa yanamtoka.
 
Sijaona mkimzungumzia soggy doggy hunter, live with purpose (LWP), Father nelly mzee wa ushanta. Wakati huo salama jabir kwenye video ya SOS b ndio kwanza maziwa yanamtoka.

Mama kibunju eti ni kweli ulikua viziwa vinachomoka kwenye ile video ya SOS B? Hebu njoo ujitetee
 
Sijaona mkimzungumzia soggy doggy hunter, live with purpose (LWP), Father nelly mzee wa ushanta. Wakati huo salama jabir kwenye video ya SOS b ndio kwanza maziwa yanamtoka.
Weka hiyo video.
 
MKUU NIGGER 1 NI J HUYO HUYO...ukiskiliza ngoma mpya ya professor j kuna j watatu mule...namkubali nigger j zaidi alie kuwa anatafta kick ya kutoka
Kwenye hiyo ngoma kuna j hustla nigga j na prof j
 
Aisee humu ndani kumbe tuko nawahenga wengi hivi....
 
Hapa unakoroga mambo tu ni mchanganyiko mkali kama wa konyagi na bangi.

Ina maana wewe gazeti la sani hulioni kwenye vibanda vya wauza magazeti au online?

Hivi Nigger 1 na Profesa Jay ni watu wawili tofauti? Sina kumbukumbu maana zamani kila Rapper ni Nigger.
Prof Jay ni Nigger J
 
Back
Top Bottom