Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Hivi walifanikiwa kipindi kile financially???? Nasikia muziki ulikuwa unalipa kipindi kileDah story za humu tamu yaani natamani ningekuwapo pande zile. Ingawa niliwahi kumuona Easy B "Bernard Luanda" wa Kwanza Unit nyumbani kwao Sinza Kijitonyama nimetoka shule Mapambano na mwanafunzi mwenzangu ndio ananionesha Yule ndio Easy B. Dah wacha nimshangae maana nilikuwa nsmsikia kwa radio tu 1992 hiyo.