Saleh Jabir, Diplomatz, Nigga 1 & mambo ya 1990's

TZINVESTOR

Senior Member
Joined
May 29, 2014
Posts
106
Reaction score
23
Leteni habari zao walipo na impact yao. Ningeongeza Unique Sisters na makundi mengine yaliyokuwa yanavuma 1990-2000

Itakuwa si vibaya mkatupa habari za kumbi kama Langata, gazeti la Sani, akina Ibrahim Washokera, Bejus store kariakoo....beach party Msasani,
 
Hapa unakoroga mambo tu ni mchanganyiko mkali kama wa konyagi na bangi.

Ina maana wewe gazeti la sani hulioni kwenye vibanda vya wauza magazeti au online?

Hivi Nigger 1 na Profesa Jay ni watu wawili tofauti? Sina kumbukumbu maana zamani kila Rapper ni Nigger.
 
Nazungumzia sani ka 90s sio huu utumbo wa siku hizi
 
Niga 1 mbona alishavuta loong time, RIP. Kulikuwa na Kwanza Unity, KU.
 
ImageUploadedByJamiiForums1411432666.509363.jpg
Na sie watu wa dance hatukuwa nyuma
 
Hapa unakoroga mambo tu ni mchanganyiko mkali kama wa konyagi na bangi.

Ina maana wewe gazeti la sani hulioni kwenye vibanda vya wauza magazeti au online?

Hivi Nigger 1 na Profesa Jay ni watu wawili tofauti? Sina kumbukumbu maana zamani kila Rapper ni Nigger.

niger 1 na profesa jay ni watu wawili tofauti. Proffesa alikua niger jay
 
Hapa unakoroga mambo tu ni mchanganyiko mkali kama wa konyagi na bangi.

Ina maana wewe gazeti la sani hulioni kwenye vibanda vya wauza magazeti au online?

Hivi Nigger 1 na Profesa Jay ni watu wawili tofauti? Sina kumbukumbu maana zamani kila Rapper ni Nigger.
MKUU NIGGER 1 NI J HUYO HUYO...ukiskiliza ngoma mpya ya professor j kuna j watatu mule...namkubali nigger j zaidi alie kuwa anatafta kick ya kutoka
 
Nigger 1 Alikuwa mtoto wa ilala flats, ameshafariki kitambo sana! Naona wamechanganya madesa mkuu.
 
Doul soul
Rap Nature-aloimba mpiga debe
Big Doggy Pose
Caz T
Snare
Boys With Voice(BWV)
 
Doul soul
Rap Nature-aloimba mpiga debe
Big Doggy Pose
Caz T
Snare
Boys With Voice(BWV)

Enzi hizo nick name yangu pompidou
Maskani ipo salamanda corner hapo utakutana na wasanii kibao Akina sugu aka 2proud,buzz Malone,Afande Sele kabla hajaanza kuimba.......etc
 
Salamander kwa akina Godfrey...carl lewis...lugano...ngazi tano...au ?
 
Back
Top Bottom