Saleh Jabir, Diplomatz, Nigga 1 & mambo ya 1990's

Salamander kwa akina Godfrey...carl lewis...lugano...ngazi tano...au ?

carl lewis alikuwa mnyamwezi sana duh!nakumbuka na begi lake mgongoni!yeye alikuwa haimbi ila salamander alikuwa ameikamata sana....huwezi ukawa mkali dar es salaam kama miaka hiyo maskani ya salamander huna flag
 
carl lewis alikuwa mnyamwezi sana duh!nakumbuka na begi lake mgongoni!yeye alikuwa haimbi ila salamander alikuwa ameikamata sana....huwezi ukawa mkali dar es salaam kama miaka hiyo maskani ya salamander huna flag

What abt khery wa magazeti? Ulisoma Right On na Word Up Magazines?

Unakumbuka enzi za Alliance Airlines?
 


usichanganye niger 1 na Niger J
 

Adili Kumbuka aka Nigger one alikufa kitambo kwa ajali ya gari maeneo ya Nyumba ya sanaa alikuwa alitokea kwenye mashindano ya Ku Rap yaliyokuwa yanaitwa YO RAP BONANZA, pia nigger one alikuwa ni mmoja wa waanzilishi wakundi la KWANZA UNIT pamoja na DRob(r.i.p), Ramson, Ythang, Bernald Luanda aka EaZy B na Koshuma....

***Joseph Haule aka Prof J alikuwa dogo chini ya HardBlaster enzi hizo kina Nigger J wako kwenye chart ****
 
B
Nigger 1 Alikuwa mtoto wa ilala flats, ameshafariki kitambo sana! Naona wamechanganya madesa mkuu.

Hahahaha alikuwa anakaa Masaki anasoma IST jina lake ni Adili Kumbuka, mama yake alikuwa mwalimu ist ndio maana na yeye akapata chance ya kusoma kule, aliokuwa ana hang now masaki ndio hao walioanzisha Kwanza Unit pamoja kina kibacha (KBC) na DRob alikuwa anakaa Maeneo ya Morogoro Stores (Masaki)......Oposite na BP ya wale wachaga kina Marealle...
 
Enzi hizo nick name yangu pompidou
Maskani ipo salamanda corner hapo utakutana na wasanii kibao Akina sugu aka 2proud,buzz Malone,Afande Sele kabla hajaanza kuimba.......etc

Pompidou NYANGINDO?
 
Enzi hizo nick name yangu pompidou
Maskani ipo salamanda corner hapo utakutana na wasanii kibao Akina sugu aka 2proud,buzz Malone,Afande Sele kabla hajaanza kuimba.......etc

Buggz Malone wa NO NAME, kina Diz Nigger Duh Jamaa umenikumbuaha mbali enzi hizo shule ni Ya kishua ni international School of Tanganyika ( iST) watoto hawa wakawa wanatema yai Balaa Coco Beach kila weekend,Dah Kitambooo
 

Ni kweli mama yake alikuwa anasomesha IST na ni kweli adili alikuwa ana ishi Ilala flats....mimi sikukaa Ilala flats lakini tulikuww na kijiwe chetu pale chinibya gorofa la akina Francis Kasidi...mind you ilala flats kulikuwa na vijiwe viwili...vya watu wa mambo ya kibitozi kama vile akina Ilana, magu,magono, saidi molel na jamaa wengine (jamaa wana facebook grpup siku hizi) na wengi wao walisafiri ulaya at the same time kile kijiwe kingine kule nyuma kama unaelekea msimbazi centre cha watu wa mambo ya meli na south africa wao walikuwa wanajiita wagumu. Marehem Adili sikuwahi kumwona pale ilala flats ila mama yake nilikuwa namwona sana

Lakini pia napajua nyumbani kwao Mikocheni B kuleeee karibu na shule ya Ushindi na partner wake wa mambo ya rap alikuwa Kijana wa kizambia alikuwa anaitwa Mwamba (nadhani alikuwa anajiitaDj Clue) nadhani baba yake alikuwa anafanya kazi kwenye moja ya Intl institutions na walikuwa wanasoma pamoja IST na adili kumbuka aka Nigga 1

Isitoshe Adili alikuwa na dada yake mzuri mzuri hivi anaitwa Mandia...in short adili alikuwa anaisho zaidi mikocheni na swagga zake watu walikuwa hawajui kama pia ni mtoto wa Ilala.
 
Buggz Malone wa NO NAME, kina Diz Nigger Duh Jamaa umenikumbuaha mbali enzi hizo shule ni Ya kishua ni international School of Tanganyika ( iST) watoto hawa wakawa wanatema yai Balaa Coco Beach kila weekend,Dah Kitambooo

Speaking of Coco beach unakumbuka Akina Iddi Janguo walivyokuwa wanatusumbua na pamba za Bulls na Lakers top to bottom?

Ukienda kugusa bei ya kofia ya Lakers pale kwa Mao Flex unakimbia....hahahaha halafu msisahau kila album mpya ikitoka tunayo...tena kwenye tape ya Chrome....hahahaha
 

walihamia mitaa ya morogoro stores kwa nyuma dada yake anaitwa Mahadia kumbuka yuko USA cku hzi nadhani TEXAS au WASINGTON kama sikosei
 
walihamia mitaa ya morogoro stores kwa nyuma dada yake anaitwa Mahadia kumbuka yuko USA cku hzi nadhani TEXAS au WASINGTON kama sikosei

Yes Mahadia Kumbuka kuna siku alipost throwback akiwa na late brother wake Adili.
 
Hivi nani kato yenu aliwahi kununua pamba kwa Mao Flex?
 
unamkumbuka Fresh EX, BBG na Samia dah masela walisumbua sana enzi hizo pamba ni FUBU, Chicago Bulls collection ndio habari ya mujini.
 
Na miaka hiyo Judith Mutawali...dada yake Charles ndio alikuwa mkurugenzi wa Immigration huku Tryson Maji ndio mkuu wa Polisi
 
hahahahahaha.... mamakibunju huwezi ukawa demu!....ni hisia tu, usinimaind!
 
Last edited by a moderator:
Niga 1 na Niga J (Prof J) ni watu wawili tofauti.

R.I.P Niga 1.

Natamani uandaliwe usiku wa Old Bongo Fleva, na katika usiku huo zipigwe show za live sambamba na kuwakumbuka wakongwe pamoja na wale waliotangulia mbele ya haki.

MKUU NIGGER 1 NI J HUYO
HUYO...ukiskiliza ngoma mpya ya professor j kuna j watatu
mule...namkubali nigger j zaidi alie kuwa anatafta kick ya
kutoka
 
Na miaka hiyo Judith Mutawali...dada yake Charles ndio alikuwa mkurugenzi wa Immigration huku Tryson Maji ndio mkuu wa Polisi

Duh unanikumbusha Tryson Maji na mtoto wake mchizi mmoja Davis Maji( R.I.P) walikuwa wanadaladala yao enzi hizooo, daladala ya kwanza masaki baada ya UDA ilikuwa chai maharage inaenda Masaki Station maarufu kwa jina la kabibi, Basi mabishoo wate wa masaki ndio walikuwa wanajifunzia usela humo wa kuning'inia kama makonda, nyimbo zinazopigwa hmo ni za kina Tupac,naughty by nature, onyx, Queen Latifa, Das Efx,ice cube, Arrested Development,Mc Hammer,Shabba Ranks Duh yaani OLD WAS GOLD MAYNEEE......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…