Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
enzi hizo Afande Sele anabeba mabegi ya Sugu kwenye show
Aiseeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
enzi hizo Afande Sele anabeba mabegi ya Sugu kwenye show
Salamander kwa akina Godfrey...carl lewis...lugano...ngazi tano...au ?
carl lewis alikuwa mnyamwezi sana duh!nakumbuka na begi lake mgongoni!yeye alikuwa haimbi ila salamander alikuwa ameikamata sana....huwezi ukawa mkali dar es salaam kama miaka hiyo maskani ya salamander huna flag
Hapa unakoroga mambo tu ni mchanganyiko mkali kama wa konyagi na bangi.
Ina maana wewe gazeti la sani hulioni kwenye vibanda vya wauza magazeti au online?
Hivi Nigger 1 na Profesa Jay ni watu wawili tofauti? Sina kumbukumbu maana zamani kila Rapper ni Nigger.
Hapa unakoroga mambo tu ni mchanganyiko mkali kama wa konyagi na bangi.
Ina maana wewe gazeti la sani hulioni kwenye vibanda vya wauza magazeti au online?
Hivi Nigger 1 na Profesa Jay ni watu wawili tofauti? Sina kumbukumbu maana zamani kila Rapper ni Nigger.
Nigger 1 Alikuwa mtoto wa ilala flats, ameshafariki kitambo sana! Naona wamechanganya madesa mkuu.
Enzi hizo nick name yangu pompidou
Maskani ipo salamanda corner hapo utakutana na wasanii kibao Akina sugu aka 2proud,buzz Malone,Afande Sele kabla hajaanza kuimba.......etc
Enzi hizo nick name yangu pompidou
Maskani ipo salamanda corner hapo utakutana na wasanii kibao Akina sugu aka 2proud,buzz Malone,Afande Sele kabla hajaanza kuimba.......etc
B
Hahahaha alikuwa anakaa Masaki anasoma IST jina lake ni Adili Kumbuka, mama yake alikuwa mwalimu ist ndio maana na yeye akapata chance ya kusoma kule, aliokuwa ana hang now masaki ndio hao walioanzisha Kwanza Unit pamoja kina kibacha (KBC) na DRob alikuwa anakaa Maeneo ya Morogoro Stores (Masaki)......Oposite na BP ya wale wachaga kina Marealle...
Buggz Malone wa NO NAME, kina Diz Nigger Duh Jamaa umenikumbuaha mbali enzi hizo shule ni Ya kishua ni international School of Tanganyika ( iST) watoto hawa wakawa wanatema yai Balaa Coco Beach kila weekend,Dah Kitambooo
Ni kweli mama yake alikuwa anasomesha IST na ni kweli adili alikuwa ana ishi Ilala flats....mimi sikukaa Ilala flats lakini tulikuww na kijiwe chetu pale chinibya gorofa la akina Francis Kasidi...mind you ilala flats kulikuwa na vijiwe viwili...vya watu wa mambo ya kibitozi kama vile akina Ilana, magu,magono, saidi molel na jamaa wengine (jamaa wana facebook grpup siku hizi) na wengi wao walisafiri ulaya at the same time kile kijiwe kingine kule nyuma kama unaelekea msimbazi centre cha watu wa mambo ya meli na south africa wao walikuwa wanajiita wagumu. Marehem Adili sikuwahi kumwona pale ilala flats ila mama yake nilikuwa namwona sana
Lakini pia napajua nyumbani kwao Mikocheni B kuleeee karibu na shule ya Ushindi na partner wake wa mambo ya rap alikuwa Kijana wa kizambia alikuwa anaitwa Mwamba (nadhani alikuwa anajiitaDj Clue) nadhani baba yake alikuwa anafanya kazi kwenye moja ya Intl institutions na walikuwa wanasoma pamoja IST na adili kumbuka aka Nigga 1
Isitoshe Adili alikuwa na dada yake mzuri mzuri hivi anaitwa Mandia...in short adili alikuwa anaisho zaidi mikocheni na swagga zake watu walikuwa hawajui kama pia ni mtoto wa Ilala.
walihamia mitaa ya morogoro stores kwa nyuma dada yake anaitwa Mahadia kumbuka yuko USA cku hzi nadhani TEXAS au WASINGTON kama sikosei
hahahahahaha.... mamakibunju huwezi ukawa demu!....ni hisia tu, usinimaind!Adili Kumbuka aka Nigger one alikufa kitambo kwa ajali ya gari maeneo ya Nyumba ya sanaa alikuwa alitokea kwenye mashindano ya Ku Rap yaliyokuwa yanaitwa YO RAP BONANZA, pia nigger one alikuwa ni mmoja wa waanzilishi wakundi la KWANZA UNIT pamoja na DRob(r.i.p), Ramson, Ythang, Bernald Luanda aka EaZy B na Koshuma....
***Joseph Haule aka Prof J alikuwa dogo chini ya HardBlaster enzi hizo kina Nigger J wako kwenye chart ****
MKUU NIGGER 1 NI J HUYO
HUYO...ukiskiliza ngoma mpya ya professor j kuna j watatu
mule...namkubali nigger j zaidi alie kuwa anatafta kick ya
kutoka
Na miaka hiyo Judith Mutawali...dada yake Charles ndio alikuwa mkurugenzi wa Immigration huku Tryson Maji ndio mkuu wa Polisi