Duh unanikumbusha Tryson Maji na mtoto wake mchizi mmoja Davis Maji( R.I.P) walikuwa wanadaladala yao enzi hizooo, daladala ya kwanza masaki baada ya UDA ilikuwa chai maharage inaenda Masaki Station maarufu kwa jina la kabibi, Basi mabishoo wate wa masaki ndio walikuwa wanajifunzia usela humo wa kuning'inia kama makonda, nyimbo zinazopigwa hmo ni za kina Tupac,naughty by nature, onyx, Queen Latifa, Das Efx,ice cube, Arrested Development,Mc Hammer,Shabba Ranks Duh yaani OLD WAS GOLD MAYNEEE......!
haya mamakibunju umetishaje....kama nakuona hiviDuh unanikumbusha Tryson Maji na mtoto wake mchizi mmoja Davis Maji( R.I.P) walikuwa wanadaladala yao enzi hizooo, daladala ya kwanza masaki baada ya UDA ilikuwa chai maharage inaenda Masaki Station maarufu kwa jina la kabibi, Basi mabishoo wate wa masaki ndio walikuwa wanajifunzia usela humo wa kuning'inia kama makonda, nyimbo zinazopigwa hmo ni za kina Tupac,naughty by nature, onyx, Queen Latifa, Das Efx,ice cube, Arrested Development,Mc Hammer,Shabba Ranks Duh yaani OLD WAS GOLD MAYNEEE......!
Pompidou NYANGINDO?
Tryphone MajiKweli ww ni mkongwe
jah kimbute mtoto wake alikua anaitwa Ras Kimbute jah ndo watu wa kwanza kwanza kuimba regge tanzaniamamakibunju mbona Kama mwanamme na hayo ma old xul yako,ebu funguka zaidi....D.rob ngada ndio imemuua? Niga Uno Pole Mahadia kumbuka,Kim and The Boys on Yo Rap Bonanza,Mambo ya YMCA kuruka bonanza na kina Jah Kimbute, Mambo ya Don Bosco kupiga bonanza,Ni Hatareeee ruka debe sana motel agip Miaka ya 1988.
haya mamakibunju umetishaje....kama nakuona hivi
Sister mi nafurahi tu unapotupa historian wapi game lilopotokea.asante Sana.Mahadia yupo USA, Yo rap bonanza naona baada ya kifo cha nigga uno kilipoteza nguvu ingekuwa sa hvi wangesema nigga uno alikufa na nyota, kwanza unit niliwai kumuona eazy B , Koshuma aka Fresh G amefungwa china nasikia lkn, wengine hata sijui waliko, No kuna mmoja yuko uk nadhani ni Kibacha (KBC)... Nani anamkumbuka Marehemu Robert Katles na Volkswagen Beetle yake, Je Marehemu Mpoki Mwambenja alivyokuwa anatesa mitaa ya kule juu Chake Chake..
Mama Kibunju old skul. Hivi Saleh Jabir yuko wapi? Kuna mmoja wa kundi la Kwanza Unit alikuwa anajua sana kujieleza, na nilimwona Itv 1997 alikuwa mdogo kuliko wenzake. Anaitwa nani na yuko wapi?Mahadia yupo USA, Yo rap bonanza naona baada ya kifo cha nigga uno kilipoteza nguvu ingekuwa sa hvi wangesema nigga uno alikufa na nyota, kwanza unit niliwai kumuona eazy B , Koshuma aka Fresh G amefungwa china nasikia lkn, wengine hata sijui waliko, No kuna mmoja yuko uk nadhani ni Kibacha (KBC)... Nani anamkumbuka Marehemu Robert Katles na Volkswagen Beetle yake, Je Marehemu Mpoki Mwambenja alivyokuwa anatesa mitaa ya kule juu Chake Chake..
Mahadia yupo USA, Yo rap bonanza naona baada ya kifo cha nigga uno kilipoteza nguvu ingekuwa sa hvi wangesema nigga uno alikufa na nyota, kwanza unit niliwai kumuona eazy B , Koshuma aka Fresh G amefungwa china nasikia lkn, wengine hata sijui waliko, No kuna mmoja yuko uk nadhani ni Kibacha (KBC)... Nani anamkumbuka Marehemu Robert Katles na Volkswagen Beetle yake, Je Marehemu Mpoki Mwambenja alivyokuwa anatesa mitaa ya kule juu Chake Chake..
Mahadia yupo USA, Yo rap bonanza naona baada ya kifo cha nigga uno kilipoteza nguvu ingekuwa sa hvi wangesema nigga uno alikufa na nyota, kwanza unit niliwai kumuona eazy B , Koshuma aka Fresh G amefungwa china nasikia lkn, wengine hata sijui waliko, No kuna mmoja yuko uk nadhani ni Kibacha (KBC)... Nani anamkumbuka Marehemu Robert Katles na Volkswagen Beetle yake, Je Marehemu Mpoki Mwambenja alivyokuwa anatesa mitaa ya kule juu Chake Chake..
Huyu marhum D.Rob si nasikia alikufaga kwa ajali?hadi mwenzake Gwamaka Kaihula(King Crazy GK)akatoaga single track ya kumkumbuka akiwa na TID,nadhani alifariki mwaka 2000,sina uhakika sana.D.Rob due to security reasons siwezi kufunguka sana si unajua na yeye alikuwa mtoto wa Vitoto, maana mchizi yule alikuwa anachanganya watoto wa kizungu wanafunzi wa ist, wabongo wakishua mpaka vicheche vya kinondoni ss unategemea nini? Inaweza ikawa CD zimepungua plus ngada ndio nitolee
*** Usichanganywe na story kaka me ni she sema nimekuwa na kaka zangu ss hawa ndio walikuwa wajanja wa enzi hizo
Yeah, alikufa 2000, GK akatoa Nyimbo 2001.Huyu marhum D.Rob si nasikia alikufaga kwa ajali?hadi mwenzake Gwamaka Kaihula(King Crazy GK)akatoaga single track ya kumkumbuka akiwa na TID,nadhani alifariki mwaka 2000,sina uhakika sana.