thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Duh unanikumbusha Tryson Maji na mtoto wake mchizi mmoja Davis Maji( R.I.P) walikuwa wanadaladala yao enzi hizooo, daladala ya kwanza masaki baada ya UDA ilikuwa chai maharage inaenda Masaki Station maarufu kwa jina la kabibi, Basi mabishoo wate wa masaki ndio walikuwa wanajifunzia usela humo wa kuning'inia kama makonda, nyimbo zinazopigwa hmo ni za kina Tupac,naughty by nature, onyx, Queen Latifa, Das Efx,ice cube, Arrested Development,Mc Hammer,Shabba Ranks Duh yaani OLD WAS GOLD MAYNEEE......!
Kweli ww ni mkongwe