Saleh Jabir, Diplomatz, Nigga 1 & mambo ya 1990's

Hivi walifanikiwa kipindi kile financially???? Nasikia muziki ulikuwa unalipa kipindi kile
 
Kuna jamaa walitoa album yakuitwa THE KILA KITU ni wakina nani hao na je bado wapo? Maana kipindi mi nakua nazisikiliza nyimbo zao siku hizi wanaita cover ila wao walikua wanabadilisha maneno ktk melod na beet ile ile..........
 
SoS B..kukuru kakara zako,Rough Nigers kutokea Tanga enzi hizo,GWM cheza mbali na kasheshe,Diplomat,oya msela oya ya Othman Njaidi,ma djs walikuaga akina mike mhagama..aiseee long time sana jamen
 
Du Kumbe Ugonjwa wa "KIFUA" Ulianza Kuwaua Wasanii Kitambo kumbe.
 
SoS B..kukuru kakara zako,Rough Nigers kutokea Tanga enzi hizo,GWM cheza mbali na kasheshe,Diplomat,oya msela oya ya Othman Njaidi,ma djs walikuaga akina mike mhagama..aiseee long time sana jamen
sos b ngoma ya nwisho nafikiri ni ikibidivyo..diplomats na usipendelependele bwimbwi tz si bwimbwi..gwm hawajawahi toa ngoma Kali kama yamenikuta
 
Sijaona mkimzungumzia soggy doggy hunter, live with purpose (LWP), Father nelly mzee wa ushanta. Wakati huo salama jabir kwenye video ya SOS b ndio kwanza maziwa yanamtoka.
 
Sijaona mkimzungumzia soggy doggy hunter, live with purpose (LWP), Father nelly mzee wa ushanta. Wakati huo salama jabir kwenye video ya SOS b ndio kwanza maziwa yanamtoka.

Mama kibunju eti ni kweli ulikua viziwa vinachomoka kwenye ile video ya SOS B? Hebu njoo ujitetee
 
Sijaona mkimzungumzia soggy doggy hunter, live with purpose (LWP), Father nelly mzee wa ushanta. Wakati huo salama jabir kwenye video ya SOS b ndio kwanza maziwa yanamtoka.
Weka hiyo video.
 
MKUU NIGGER 1 NI J HUYO HUYO...ukiskiliza ngoma mpya ya professor j kuna j watatu mule...namkubali nigger j zaidi alie kuwa anatafta kick ya kutoka
Kwenye hiyo ngoma kuna j hustla nigga j na prof j
 
Aisee humu ndani kumbe tuko nawahenga wengi hivi....
 
Prof Jay ni Nigger J
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…