Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Bahati mbaya huyu mdau aliyeinogesha sana hii thread last seen yake ni kama unavyoona.popote ulipo mkuu mamakibunju tunakuomba uje hapa uendelee kutupa elimu kuhusu huu mziki na waanzilishi wake.Ngoja aje mwenyewe si umemuita?