Saleh Jembe: Wazee wa Yanga Waheshimu Mamlaka

Saleh Jembe: Wazee wa Yanga Waheshimu Mamlaka

nyehura

Member
Joined
Jun 4, 2022
Posts
6
Reaction score
15
Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ ameoneshwa kushangazwa na kitendo cha wazee wa klabu ya Yanga kutaka kwenda kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ili kuzungumzia sakata la Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara, huku akibainisha kuwa kwa kufanya hivyo wazee hawatafanikiwa kwani hata Rais Samia Mwenyewe anaelewa nini maana ya kuheshimu Mamlaka

Jembe amesisitiza kuwa si kwa sababu tu ni wazee basi wasifuate taratibu na kuheshimu Mamlaka kwani anaamini kumekuwa na kasumba kwa klabu za Simba na Yanga linapotokea tatizo la kinidhamu basi wanatumika wazee kama chambo.

Akiongea katika katika Kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa

“Hivi kwani unataka kuniambia hawa wazee wanaruhusu watu wawatukane watu kwasababu wao ni wazee, hawa wazee kwanini wasisisitize procedures zifanyike lakini pia hawa wazeeunataka kuniambia leo wanaenda kuandamana lakini wanampinga hata Waziri mwenye dhamana ya Michezo mwenyewe ambaye amesisitiza mamlaka ziheshimiwe, tufuate sheria kwa mfano kama mimi ni mzee nyumbani kangu kijana hana adabu kwahiyo inatakiwa mimi nimuache afanye lolote tu

Aidha amesisitiza kuwa kwa kitendo cha Wazee kutaka kuonana na Rais Samia ni wazi kuwa wanapingana na maelekezo ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa aliyetaka watu wote katika tasnia ya michezo kuheshimu Mamlaka zilizopo.
 
Yaani kabisa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aache kazi zake azungumzie habari ya huyu zeruzeru mvuta bangi asiyejitambua? Hivi hao wazee wanajua ukubwa wa taasisi ya urais na majukumu yake. Ndiyo maana huyu takadini aliwaita kuwa ni hamnazo
JamiiForums-157563313.jpg
FB_IMG_1655579378566.jpg
 
Yanga haijitajji ushauri wowote kutoka ,Simba ,nyinyi mshauriane wenyewe kuhuso 20b,hewa, kupotea makombe yote, mapenzi kazini CEO na Mo, ushoga clabuni etc
 
Yanga haijitajji ushauri wowote kutoka ,Simba ,nyinyi mshauriane wenyewe kuhuso 20b,hewa, kupotea makombe yote, mapenzi kazini CEO na Mo, ushoga clabuni etc
Nnya Sports Club hamjitambui , mpaka huyo takadini awapake kinyesi vichwani ndiyo mtatia akili
 
Back
Top Bottom