Aweke Takwimu zao tuone nani zaidi
SALEHE ACHANA NA WANAOKULAZIMISHA KUVAA OVERSIZE YA EDO KUMWEMBE
chama na faisal wamekutana mechi zaidi ya 5 kwa kumbukumbu za haraka chama kaonekana mechi moja tu ya ushindi wa 4-1 tangu hapo ajawahi fanya jambo lolote la maana
ila jamaa anasema wamekutana na faisal anaujua mziki wa chama, unatafuta mziki gani huo upati
basi unagundua ni mahaba ya jamaa kwa chama ila kiuwezo chama kwa faisal hamfikiii
uko sahihi pia unajua sana mpira weweJamaa hujui mpira kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
Kufunga goli sio kung'aa kama ndivyo basi mpira utakuwa hauna maana tenaHiyo ya 4-1 goli hilo moja alifunga Feisal, walipokutana fainali FA Feisal akawalaza saa 12 jioni
Kwa hiyo Edo Kumwembe ndiyo mchambuzi bora kwako?SALEHE ACHANA NA WANAOKULAZIMISHA KUVAA OVERSIZE YA EDO KUMWEMBE
Huyu shoga ndo mnatuletea utumbo wake hapa, hana takwimu kati yao kwa mechi husika.
Nyie huwa mnajuana vipi? Mi hata sikuwa najua aiseee... Kweli waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba. Miaka yote sijui kuwa mpo hivyo.😁Huyu shoga ndo mnatuletea utumbo wake hapa, hana takwimu kati yao kwa mechi husika.
Utakua umeanza kushabikia mpira leo. Feisal amzidi Chama? Uko siriaz kabisa!chama na faisal wamekutana mechi zaidi ya 5 kwa kumbukumbu za haraka chama kaonekana mechi moja tu ya ushindi wa 4-1 tangu hapo ajawahi fanya jambo lolote la maana
ila jamaa anasema wamekutana na faisal anaujua mziki wa chama, unatafuta mziki gani huo upati
basi unagundua ni mahaba ya jamaa kwa chama ila kiuwezo chama kwa faisal hamfikiii
Hata iyo ya 4-1 feisal alikua ndo mchezaji ambae alionyesha uhai upande wa yanga sema timu kiujumla haikua na wachezaji wenye ubora kama sasaAnadai wamekutana mara kadhaa inamaanisha ni kwenye derby sasa je kitakwimu ni derby ipi huyo chama kaonyesha mpira mkubwa ukiondoa ile ambayo Yanga alifungwa goli 4-1? Tumesahau derby kibao chama anatolewa sub? Au tumesahau marehemu Hanspope alipokamlaumu chama kwa kucheza chini ya kiwango kwenye derby?
Ndo mwandishi alotakiwa kuweka takwimu kuhalalisha hoja yake, uwezi kutoa hoja alafu ukaacha jukumu la kuwasilisha takwimu liwe la msomajiKwani we mpaka uletewe takwimu mbona simple tuu..chama kaipeleka simba makundi na robo fainali CAFCL zaidi ya mara moja..
Kawa MVP ligi ya tanzania mara mbili mfululizo.
Sasa baba unataka takwimu gani tena[emoji23][emoji23]
Haya fei kaisaidia yanga kuipeleka wapi CAFCL?
MUDA WAKE UTAFIKA TU.
Umeumia au????Kwa hiyo Edo Kumwembe ndiyo mchambuzi bora kwako?
Kwani Salehe hayo maneno kayatamka au kayaandikaMzee edo kumwembe ni mwandishi tuu,saleh jembe ni mhariri mkuu wa magazeti ya champion kumwembe ni mdogo sana kwa saleh jembe