TANZIA Salehe Songolo, aliyetengeneza Meli za MV Mbeya na MV Songea afariki Dunia

TANZIA Salehe Songolo, aliyetengeneza Meli za MV Mbeya na MV Songea afariki Dunia

Sema wewe mleta uzi miyeyusho sana, ni nini hicho umeandika kwenye kichwa cha uzi?

Anyways, RIP
 
Atakuwa alienda kusimamia marekebisho ya MV Mbeya II iliyopata hitilafu ikataka kuzama.R.I.P
 
Shigongo alilia kudhulumiwa na nani sijui
 
Rekebisha hapo sio kampuni amefariki bwana, mmriki wa kampuni ndo kafa
 
RIP Mzee Songoro, umeacha legacy nzuri ktk sekta ya uundwaji meli Tanzania.

03 June 2021
Kyela, Mbeya
Tanzania

Mengi yabainika MV Mbeya ilizinduliwa kabla ya kukamilika


Naibu waziri Mwita Waitara awa mbogo baada ya kugundua mapungufu mengi yalikuwapo ila wanasiasa waliingilia mchakato wa kiufundi na usalama wa chombo haujamalizwa.

Kufuatia kubainika kwa mapungufu hayo ya kiufundi na usalama wa meli
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amewasimamisha kazi na kuagizwa wapangiwe majukumu mengine vigogo wawili wa Mamlaka ya Bandari (TPA) makao makuu na Bandari ya Kiwira Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya

Source : Global TV online



Soma zaidi :
Meli za MV Mbeya II na MV Songea


MV RUVUMA




MV. Mwanza

 
Taarifa zinaeleza kwamba Mkurugenzi wa Songolo Marine, Salehe Songolo, Mkazi wa Ilemela Mwanza ambaye amekuwa mdau mkubwa wa maendeleo wa awamu ya 5 kwa kampuni yake kushinda Zabuni nyingi za utengenezaji wa meli na vivuko amefariki.

Inasemekana amefariki katika Hospitali ya KS Jijini Mbeya, hata hivyo chanzo cha kifo chake hakikutajwa. Atakumbukwa sana kwa kutoa ajira kwa vijana kadhaa wa wilaya ya Kyela kutokana na ujenzi wa Meli za ziwa Nyasa.

Chanzo: Mwananchi

Apumzike kwa Amani .
 
Back
Top Bottom