Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ohoooo !!!Kagonga sana wake za watu kule Kyela [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooo !!!Kagonga sana wake za watu kule Kyela [emoji3][emoji3]
Nasikia meli zake hazina viwango, zinazama sana..Taarifa zinaeleza kwamba Mkurugenzi wa Songolo Marine, Salehe Songolo, Mkazi wa Ilemela Mwanza ambaye amekuwa mdau mkubwa wa maendeleo wa awamu ya 5 kwa kampuni yake kushinda Zabuni nyingi za utengenezaji wa meli na vivuko amefariki.
Inasemekana amefariki katika Hospitali ya KS Jijini Mbeya, hata hivyo chanzo cha kifo chake hakikutajwa. Atakumbukwa sana kwa kutoa ajira kwa vijana kadhaa wa wilaya ya Kyela kutokana na ujenzi wa Meli za ziwa Nyasa.
Chanzo: Mwananchi
Apumzike kwa Amani .
Hapana,yeye hana meli zanzibar bali anajenga meli tuHuyu mzee ana boti zake Zanzibar ?
Nae huyu alikua amefanyiwa wiring kama mwendazake!??Vifo vya ghafla naona vimeanza tena
wazee bado wanakimbizana na vijana - ni hatari.Vifo vya ghafla naona vimeanza tena
Na yeye alishawahi mdhurumu ERIC SHIGONGO wa GLOBAL PUBLISHERS!Isije kuwa alidhulumiwa na yule dhulumati maarufu