Vifo vya ghafla naona vimeanza tena
Sasa hivi corona hamna?
Corona bado ipo tusijisahau sanaMmiliki wa kampuni ya songoro Marine amefariki Dunia akiwa mkoani Mbeya
Mwananchi limeripoti. View attachment 1810685
Embu jazia nyama bas tule vizurTayari wameanza kumalizana kufuta ushahidi. Hii ni process ameleta Mungu ili mazimwi yote yaishe kwenye uso wa tz