TANZIA Salehe Songolo, aliyetengeneza Meli za MV Mbeya na MV Songea afariki Dunia

halafu kuna mijitu mingine inaishi huku ikidhani yenyewe itaishi milele.
huku wakijidanganya kuwa kwakuwa yeye haumwi wala hana ugonjwa wowote basi bado anaweza akaishi miaka mingi!!!!!
wacheni kujidanganya, wacheni au acha kumuonea binaadamu mwenzako, acha kufitinisha mwenzako, acha kumzushia mwezio uongo, haswa walio maofisini acheni kuzushiana mambo yasiyo ya kweli kwa chuki.
 
Nasikia meli zake hazina viwango, zinazama sana..
Anyway RIP.
 
Kamwacha bi mdogo mpweke sijui nae atadai kuwa na wosia kama wa Jack, kwaheri shemeji yetu, wananchi wa wilaya ya Kyela watakukumbuka kwa kweli, ila tunafarijika kwa kutuachia mbegu.
 
Asife na kiwanda chake tu.
 
Alikuwa mshkaji wake sana meko toka enzi ya meko alivyokuwa waziri wa ujenzi wamepiga nae mchuzi sana .

Songoro amejenga vivuko nadhani vyote vya TEMESA ambayo ipo chini ya wizara ya ujenzi. Anyway RIP to him alishawahi kunitoa mpunga dola 1000 kuna kazi yake nilimfanyia hakuwa na roho mbaya kwenye mchuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…