Alikuwa mshkaji wake sana meko toka enzi ya meko alivyokuwa waziri wa ujenzi wamepiga nae mchuzi sana .
Songoro amejenga vivuko nadhani vyote vya TEMESA ambayo ipo chini ya wizara ya ujenzi. Anyway RIP to him alishawahi kunitoa mpunga dola 1000 kuna kazi yake nilimfanyia hakuwa na roho mbaya kwenye mchuzi