Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Daraja la Salender lilijengwa mwaka 1929 kuungunisha mji wa Dar-Es-Salaam na Oyster Bay iliyo Kaskazini ya Dar. Wakati huo iliwekwa kuwa eneo la makazi wa viongozi wa serikali.
Jina la Salender limetoka kwa John Einar Salender aliyekuwa Mkurugenzi wa Jamii na Kazi katika serikali ya Tanganyika.