Salende Bridge 1947

Salende Bridge 1947

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1553959821454.jpeg

Daraja la Salender lilijengwa mwaka 1929 kuungunisha mji wa Dar-Es-Salaam na Oyster Bay iliyo Kaskazini ya Dar. Wakati huo iliwekwa kuwa eneo la makazi wa viongozi wa serikali.

Jina la Salender limetoka kwa John Einar Salender aliyekuwa Mkurugenzi wa Jamii na Kazi katika serikali ya Tanganyika.
 
View attachment 1058207

Asante kwa kutukumbusha historia. Wengi wetu tulikuwa hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1058207
Daraja la Salender lilijengwa mwaka 1929 kuungunisha mji wa Dar-Es-Salaam na Oyster Bay iliyo Kaskazini ya Dar. Wakati huo iliwekwa kuwa eneo la makazi wa viongozi wa serikali.
Jina la Salender limetoka kwa John Einar Salender aliyekuwa Mkurugenzi wa Jamii na Kazi katika serikali ya Tanganyika.
Yapo madaraja mengi tuu TZ
Kipi ambacho kinalifanya hilo daraja kuwa la pekee au la kukumbukwa
 
ni kwasababu hupajui dar Pole Sana the great elite ya bongo 90 iko hapo
 
View attachment 1058207

Daraja la Salender lilijengwa mwaka 1929 kuungunisha mji wa Dar-Es-Salaam na Oyster Bay iliyo Kaskazini ya Dar. Wakati huo iliwekwa kuwa eneo la makazi wa viongozi wa serikali.

Jina la Salender limetoka kwa John Einar Salender aliyekuwa Mkurugenzi wa Jamii na Kazi katika serikali ya Tanganyika.
Dah upande wa Kushoto Kama unaenda knyama kuna msitu wa mamiti kumbe zamani palikuwa peupeeeeeeee jamani hebu ondoeni ule msitu kwani una faida gani za kiekolojia
 
ni kwasababu hupajui dar Pole Sana the great elite ya bongo 90 iko hapo
Boya tu wewe..
Mi nauliza mnielezee.. We unajibu pumba
Sasa we uliskia wa TZ wote tunaishi dar..
Kama hujui si ukae tu kimya
 
Back
Top Bottom