Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kavaaa mask Ili msimpende mkuumkuu kama huyo kwenye avatar ndio mke wako hakika ukifa hakuna mtu atamsogelea kumuoa,kama jina lako linavyojieleza!...
dada legeza kidogo.Ndani ntiti nje ntiti...mpka mchemeee
Mwijaku yule ni chawa mkubwa wa GSM hivyo yale yote anayotapika ni jukumu alilopewa. Simba imekuwa na mamluki wengi kuanzia viongozi,wachezaji hadi wanachama na washabiki. Maneno aliyosema Cadena siyo ya kupuuza hata kidogo,zile goli tano ilikuwa biashara wa baadhi ya viongozi. Mtu kama huyo CPA uchwara taarifa zake tunazo hata kikao alichoitisha bar juzi ni project ya GSM.Mwijaku kanuna
Atatoka tuu na yeyw muda ukifika...Mimi nimefurahishwa tu kuona Mangungu amegoma kujiuzulu. Haiwezekani amlete mpaka Caesar Manzoki kutoka China, siku ya uchaguzi mkuu uliopita! Halafu kirahisi tu ajiuzulu!!
Siyo “nguvu moya” ni “guvu moya”Mangungu kazaa kabisa utaenda wapi Tena na umri ushakutupa mkono?
Kazaa usikubari kung'atuka Mudi mwenyew kakukuta ukiwa mwanachama na mshabiki wa Simba.
Simba nguvu moya
Aende tu...View attachment 3014712
View attachment 3014840
Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah (Try Again) ametangaza kujiuzuru wadhifa wake.
Amewashukuru mashabiki na wajumbe wa bodi aliofanya nao kazi kwa ukaribu. Amewaomba wanachama wa Simba kuwa wamoja na kuondoa migogoro.
Aidha, amesema baada ya mashauriano mengi, yeye pamoja na wajumbe wenzake wameona Mo Dewji anafaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi, na anatumaini atakubali ombi hilo.
Amesema anaondoka kwenye nafasi hiyo kwa bashaha, na yeye ni mdogo kuliko Simba. Pia, amemshukuru Mo kwa imani kubwa kwake na amewaomba wapenzi na mashabiki wa Simba kumpa ushirikiano wakati akianza kuisuka upya timu hiyo.
Try Again alianza kushika nafasi ya juu ya Uongozi ndani ya Simba SC 2017 kama Kaimu Rais wa Simba SC, Mjumbe wa Bodi na hatimae Mwenyekiti wa Bodi.
Pia soma:
- Tetesi: - Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine
- Tetesi: - Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!
- Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
- Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'
Bado Mangungo na wajumbe wengine wa bodi matapeli wanatudanganya eti wanataka kutengeneza mfumo!View attachment 3014712
View attachment 3014840
Akizungumza na Azam TV, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah (Try Again) ametangaza kujiuzuru wadhifa wake.
Amewashukuru mashabiki na wajumbe wa bodi aliofanya nao kazi kwa ukaribu. Amewaomba wanachama wa Simba kuwa wamoja na kuondoa migogoro.
Aidha, amesema baada ya mashauriano mengi, yeye pamoja na wajumbe wenzake wameona Mo Dewji anafaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi, na anatumaini atakubali ombi hilo.
Amesema anaondoka kwenye nafasi hiyo kwa bashaha, na yeye ni mdogo kuliko Simba. Pia, amemshukuru Mo kwa imani kubwa kwake na amewaomba wapenzi na mashabiki wa Simba kumpa ushirikiano wakati akianza kuisuka upya timu hiyo.
Try Again alianza kushika nafasi ya juu ya Uongozi ndani ya Simba SC 2017 kama Kaimu Rais wa Simba SC, Mjumbe wa Bodi na hatimae Mwenyekiti wa Bodi.
Pia soma:
- Tetesi: - Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine
- Tetesi: - Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!
- Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
- Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'
Waanze vibaraka wale akina masudi mwenye cpa ya mchongo.. hao ndio walikua wanafanya hujuma kwa wachezaji sababu tu majina ya wachezaji hayajapita kwaoBado upande wa Mangungu nako tunataka fagio lipite
Ni kweli mkuu, huyo mwehu mwenye cpa ya mchongo na genge lake ndio wahusika wakuu wa hujuma ndani ya simba. Fagio linakuja upande wa akina mangungu.Mwijaku yule ni chawa mkubwa wa GSM hivyo yale yote anayotapika ni jukumu alilopewa. Simba imekuwa na mamluki wengi kuanzia viongozi,wachezaji hadi wanachama na washabiki. Maneno aliyosema Cadena siyo ya kupuuza hata kidogo,zile goli tano ilikuwa biashara wa baadhi ya viongozi. Mtu kama huyo CPA uchwara taarifa zake tunazo hata kikao alichoitisha bar juzi ni project ya GSM.
Ngungus Boy hatoki mpaka amalize muda wake wa uongozi,hawezi kutoka kwa maneno ya vijiweni. Tupo na Ngungus Boy mpaka mwisho.Atatoka tuu na yeyw muda ukifika...
Tupo hapa na mwekezaji Mo mpka kieleweke...wawekezaji wanaoitaka timu wajitokeze tuwaone