Mi kwa maoni yangu.
MO ameshindwa kuhimili ghalama za
Simba Sports Club.
Hao wanao jiudhuru ni kama wanajitoa sadaka tu.
Marehemu Msabaha aliita Bangusilo.
Ki ukweli Uwezo wa MO wa kuimiliki Simba umeisha.
Na nasema hapo mbele kidogo tu, MO ataitema Simba.
Ni kama unapomsomesha mwanamke.
Wakati unamsomesha anakuwa katika status ndogo ya kuweza kumhudumia.
Akimaliza Degree zake ni lazima atapanda ghalama na huta weza kummiliki tena.
Ndivyo ilivyo Simba na kwa sasa.
Simba ishakuwa Brand kubwa sana MO hawezi tena kuimiliki ingawa aliipandisha yeye.
Ushauri wangu MO aachane na Simba ili abaki kwenye nafasi yake.
Maneno mengi ni dalili za kukosa uwezo.
Kila siku ni wimbo wa Billioni Ishirini tu.
Ni kama kumwambia yule Mwanamke
"nimekulipia ada za chuo hadi ukahitimu mimi"
Nafuu ya MO ni kuachana na Simba.
Hizo ghalama zake Simba itakaa na kuona watazibalance vipi ili kuepukana na maneno maneno mengi yanayo jirudia rudia hadi kukera wadau wa Simba.