Salim Abdallah 'Try Again' ajiuzulu uenyekiti bodi ya wakurugenzi Simba

Waanze vibaraka wale akina masudi mwenye cpa ya mchongo.. hao ndio walikua wanafanya hujuma kwa wachezaji sababu tu majina ya wachezaji hayajapita kwao
Hao watatoka tu mbona katika historia ya watu wabishi wale hawajafikia hata nusu ya viongozi waliowahi kusumbua

Subiri hicho kikao cha jumamosi utaniambia
 
Haya sasa MO huyo karudi kwenye nafasi yake.

Tuone CPA kama ataendelea kufanya kazi pamoja na mtoa hela za boxer na mchicha.

Haters wote wasioitakia Simba mema wameumia

Wakiongozwa na Shaffih Dauda
 
Umenena
 
Kichwa kilichobakia Simba ni Mangungu tu!

Hii klabu inaendeshwa kiuni, yaani anajiteua na kujitangaza kama mwenyrkiti wa bodi akiwa CHUMBANI KWAKE!

Aibu sana hii kwa Simba.
 
Kwahiyo jukum la mjumbe ni nini au ni kwenda kutoa macho tu nakujaza viti joto si ndio?.Hadi hapa inaonyesha wewe na huyo unayemtetea hamjui wajibu wenu.
 
Kwahiyo jukum la mjumbe ni nini au ni kwenda kutoa macho tu nakujaza viti joto si ndio?.Hadi hapa inaonyesha wewe na huyo unayemtetea hamjui wajibu wenu.
Mjumbe hana analoweza kuamua mbele ya mwenyekiti wa bodi!!, mawazo yake yanaweza kupokelewa au kutopokelewa... Katika taasisi yoyote inapofanya vibaya mtu wa kwanza kujiuzuru huwa n mtendaji mkuu... Hivi huwa mna akili kweli nyie kolo😅😅😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…