Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Huna akili kuhusu jezi hujui mkataba ulitangazwa kapewa Sandaland
 
Makolo washapoteana Hadi wajipate miaka kumi tayari,Ila Kuna mahala umetupiga,
1:Tajiri anaishi Uturuki
2:Familia Moja/mtu, au kampuni moja haiwezi Kumiliki Timu zaidi ya moja Ligi moja
Lakini mkuu hapo kwa team naona sawa

Mzee anaweza kumiliki team kwa jina la mtu mwengine hata wewe mkikubaliana itagundulika?
 
Hilo haliwezekani sababu ni mmiliki wa azam tayari
 
Ukweli ni kwamba kama sio SSB kupewa Simba basi bado mtaendelea kumuhitaji Dewj pamoja na drama zake zote hizo.
 
Huko kwenye jezi ndiko kuna balaa Mkuu. Watoto wa mjini ndio wameshika mpini, Sandaland yuko pale kama bendera tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…