Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Try again amesha jiuzuru nyazifa alizonazo simba na mwanamama amerudi

Nazani kikao kilicho fanyika ktk ofisi za mo kilieleza haya

Alipost pia ktk IG yake

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa lakini... una weza jirizisha pia kupitia IG ya muwekezaji
simba hawajawahi kufanya makosa ya namna hyo, rejea nyuma ya hizi timu kubwa mbili utaelewa nnachokiongea mkuuu
 
Try again amesha jiuzuru nyazifa alizonazo simba na mwanamama amerudi

Nazani kikao kilicho fanyika ktk ofisi za mo kilieleza haya

Alipost pia ktk IG yake

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa lakini... una weza jirizisha pia kupitia IG ya muwekezaji
Hakuna suala kama hilo Mkuu, Try Again bado ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba.
IMG_5242.jpeg
 
Hili halipingiki ila
SSB tayari ana Azam FC

Lakini kama ni kweli ameweka nia ya kuwepo simba basi kuna mpango anao wa kukwepa hicho kikwazo cha umiliki wa Azam Fc

Kwa mara ya kwanza naomba timu yangu ifungwe ili ilete chachu ya mabadiliko maana tukishinda hapa tena lawama robo fainali ijayo kama tutafika😁👍🏽
Sio nia pekee Mkuu, mipango thabiti imeshasukwa na wamefikia pazuri.

Hii vita yenu inatunufaisha sisi, team Try Again wanataka Yanga washinde ili wampoteze Mo kabisa huku Mo nae anataka Simba ishinde ili awapoteze Try Again na genge lake.

Sio mchezo!
 
Mmiliki wa Azam ni mtoto
Miliki wa simba muwekezaji ni baba (kama atakuwa) sizani kama kuna shida

Ni kama umiliki wa timu za taasisi
Timu za jkt
Timu za jwtz huko daraja la kwanza zimejaa
Timu za polisi zipo polisi dom, polisi moro, polisi dsm
Magereza pia wanazo mikoani kama magereza musoma

Timu za halmashauri kama ilivyokuwa timu za kurugenzi (wakurugenzi wa halmashauri)

Timu za ujenzi

Timu za shirika moja la relic Yani reli kigoma, reli morogoro

Nazani kwetu ni kawaida

Pia ndg kumiliki timu ni jambo la kawaida, pale Congo dr kuna Katumbi na ndg yake wana miliki timu na zipo Ligi kuu

Salzburg RB, RB reipzig na RB zingine ni mifano ya umiliki wa taasisi moja au shabihishi
Umesema vyema Mkuu.
 
Bakheresa kipindi akiwa muhasibu wa timu si alisema hatowahi kurudi Simba kimetokea nini tena 🤔🤔 hapo ni vita ya pesa tuu sisi mashabiki hatuna chaguo yeyote sawa tuu
 
Bakheresa kipindi akiwa muhasibu wa timu si alisema hatowahi kurudi Simba kimetokea nini tena 🤔🤔 hapo ni vita ya pesa tuu sisi mashabiki hatuna chaguo yeyote sawa tuu
Usiamini maneno ya mfanyabiashara Mkuu, akiona fursa katu hawezi kuacha kuitumia.

Simba ni taasisi kubwa, hakuna tajiri anayeweza kuchezea fursa ya kuwekeza pale.
 
Mmiliki wa Azam ni mtoto
Miliki wa simba muwekezaji ni baba (kama atakuwa) sizani kama kuna shida

Ni kama umiliki wa timu za taasisi
Timu za jkt
Timu za jwtz huko daraja la kwanza zimejaa
Timu za polisi zipo polisi dom, polisi moro, polisi dsm
Magereza pia wanazo mikoani kama magereza musoma

Timu za halmashauri kama ilivyokuwa timu za kurugenzi (wakurugenzi wa halmashauri)

Timu za ujenzi

Timu za shirika moja la relic Yani reli kigoma, reli morogoro

Nazani kwetu ni kawaida

Pia ndg kumiliki timu ni jambo la kawaida, pale Congo dr kuna Katumbi na ndg yake wana miliki timu na zipo Ligi kuu

Salzburg RB, RB reipzig na RB zingine ni mifano ya umiliki wa taasisi moja au shabihishi
Kampuni ni moja fahamu ilo ni swala la FIFA sio TFF
 
Mkuu baada ya kupewa hii taarifa jana nilichanganyikiwa, mpira wetu umejaa fitna nyingi sana nje ya uwanja.
Ila kama kweli mambo yanaenda hivyo naanza kuamini kuwa kiwango kinachooneshwa na timu ya simba kuna kitu nyuma ya pazia aidha Simba apambane na kundi la nyati au atumie mbinu za kimedani kupata anacholenga.
 
Usiamini maneno ya mfanyabiashara Mkuu, akiona fursa katu hawezi kuacha kuitumia.

Simba ni taasisi kubwa, hakuna tajiri anayeweza kuchezea fursa ya kuwekeza pale.
Mafanikio ya mpira hayahitaji tu ela bali watu wenye akili na upeo
Tatizo la simba sio mo pekee yake hata hao wakina try again ni hopeless

Hata aje bakheresa as long try again, mangungu wapo hakuna kitakachobadilika
 
Back
Top Bottom