Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama hii taarifa ni ya kweli basi Simba hata sare hawawezi kupata, mechi ya derby ni lazima wote muwe kitu kimoja.Sio nia pekee Mkuu, mipango thabiti imeshasukwa na wamefikia pazuri.
Hii vita yenu inatunufaisha sisi, team Try Again wanataka Yanga washinde ili wampoteze Mo kabisa huku Mo nae anataka Simba ishinde ili awapoteze Try Again na genge lake.
Sio mchezo!
Ndio maana nimeona yule Albino ameanza kutamba Simba wakiambulia hata Sare wachinje ngamia.
Narudia kama hizi ni taarifa za kweli basi subiri kushuhudia bakora baada ya mechi ya tarehe 20.