Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

Nimemsikiliza mh Turkey kupitia kipindi cha Clouds 360 akielezea namna alivyosaidia upatikanaji wa ndege iliyompeleka Lissu Nairobi. Amekuwa mkweli, hakufanya siasa na amenishawishi niamini kuwa pia uislamu ni dini ya amani. Mungu akubariki mh Turkey kadhalika aendelee kumponya mh Lisu, amen!
 
amesemaje
 
Tatizo ni kuwa ndugai jana alisema kuwa turky ndo alilipa gharama zote za usafirishaji, jambo ambalo halikuwa la kweli..! yeye alifanikisha logistics tu za ndege kuweza kufika dodoma ila gharama zililipwa na chadema..., hapo ndo mgogoro ulipokuwa.
 
Aliyedanganya apelekwe kamati ya BUNGE YA MAADILI.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] yule ni mungu wa bunge hagusiki neno lake ndo mwisho
 
Nimemsikiliza mh Turkey kupitia kipindi cha Clouds 360 akielezea namna alivyosaidia upatikanaji wa ndege iliyompeleka Lissu Nairobi. Amekuwa mkweli, hakufanya siasa na amenishawishi niamini kuwa pia uislamu ni dini ya amani. Mungu akubariki mh Turkey kadhalika aendelee kumponya mh Lisu, amen!
Tundu lisu akija aache kubwatuka mdomo uumba .nakumbuka akiwa BUNGENI ni huyu tundulisu huwa anawatukana hao jamaa kwa kuwaita MACCM haya MACCM haya hayajielewi lakin mungu si athman MACCM yamemsaidia lakin huyu MALAIKA WAKE wapo CDM sijaona walichokifanya zaidi natamko tu
 
Umeshindwa kujenga hoja bila kuingiza imani yake.?
 
Aliyedanganya apelekwe kamati ya BUNGE YA MAADILI.
Hakuna aliyedanganya sema huku Tanganyika tunafikiri kuwa mwanasiasa mahiri ni kujivua utu wako. Wakati Turkey anamsaidia Lisu ktk hali ya ubinadamu wengine walitaka kuligeuza tukio lile liwe la kisiasa!
 
Tundu lisu akija aache kubwatuka mdomo uumba .nakumbuka akiwa BUNGENI ni huyu tundulisu huwa anawatukana hao jamaa kwa kuwaita MACCM haya MACCM haya hayajielewi lakin mungu si athman MACCM yamemsaidia lakin huyu MALAIKA WAKE wapo CDM sijaona walichokifanya zaidi natamko tu
Lowasa..lowasa
 
Umeshindwa kujenga hoja bila kuingiza imani yake.?
Ndio hapo hoja ilipojikita, we unadhani pale bungeni mwenye connections ni Turkey peke yake?!!! Mwenyekiti mtemi Chenge unadhani hana influence....... Alichofanya Turkey ni ' zaidi' ya siasa!
 
Tundu lisu akija aache kubwatuka mdomo uumba .nakumbuka akiwa BUNGENI ni huyu tundulisu huwa anawatukana hao jamaa kwa kuwaita MACCM haya MACCM haya hayajielewi lakin mungu si athman MACCM yamemsaidia lakin huyu MALAIKA WAKE wapo CDM sijaona walichokifanya zaidi natamko tu
Kilichomsukuma Turkey si uccm wake bali ubinadamu wake!
 
Nimemsikiliza mh Turkey kupitia kipindi cha Clouds 360 akielezea namna alivyosaidia upatikanaji wa ndege iliyompeleka Lissu Nairobi. Amekuwa mkweli, hakufanya siasa na amenishawishi niamini kuwa pia uislamu ni dini ya amani. Mungu akubariki mh Turkey kadhalika aendelee kumponya mh Lisu, amen!
Uislamu ni dini ya amani isipokuwa kuna manyang'au yanaitumia vibaya!
FaizaFoxy kauona huu uzi??
 
Tundu lisu akija aache kubwatuka mdomo uumba .nakumbuka akiwa BUNGENI ni huyu tundulisu huwa anawatukana hao jamaa kwa kuwaita MACCM haya MACCM haya hayajielewi lakin mungu si athman MACCM yamemsaidia lakin huyu MALAIKA WAKE wapo CDM sijaona walichokifanya zaidi natamko tu
Yaani kuwa mtu kati kamsaidiaje kwani kalipa hiyo ndege yyau huwa hujitambui
 
Back
Top Bottom