kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Kiliazimwa na nan?kwa hiyo chama kiliazimwa fedha hizo, basi spika yupo sawa na msigwa yupo sawa. Nyakati ndo tofauti tu
Kiliazimwa na nan?kwa hiyo chama kiliazimwa fedha hizo, basi spika yupo sawa na msigwa yupo sawa. Nyakati ndo tofauti tu
Haishangazi ripoti zinasema katika kipindi cha mwaka mmoja tu kumekuwa na ongezeko la wagonjwa wa akili kutoka laki sita hadi laki saba. Kwani kukopa maana yake huna hela? Huoni kuwa jambo hilo lilikuwa linahitaji dharura?Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Acha kudanganya watu, Kama Hamna Hamna tu lakn ni aibu kwa chama kubwa Kama chademaMshamba sana wewe! Kutokuwa na cash 18m kwa wakati ule sio kutokuwa na hela. Fedha za chama zina taratibu zake za kutoka na pengine mbunge huyo wa ccm ana mahusiano mazuri na hiyo kampuni ya ndege ndio akaweka dhamana.
JF sasa hivi imevamiwa nawajinga, wachawi na wenye roho za chuki kama baba yenu na huyo mgogo wa mjengoni
Pole kwa baba yako aliyeugua Ugonjwa wa Akili Mda mrefu hakumwaga Bao nje Akakuzaa wewe Mtumwa wa Mbowe.Haishangazi ripoti zinasema katika kipindi cha mwaka mmoja tu kumekuwa na ongezeko la wagonjwa wa akili kutoka laki sita hadi laki saba. Kwani kukopa maana yake huna hela? Huoni kuwa jambo hilo lilikuwa linahitaji dharura?
Ukiwa mbumbumbu na hujui procedures za matumizi ya fedha za taasisi kubwa kama Chadema bora unyamaze kuliko kujiaibisha jukwaani kwa watu kugundua wewe ni zero brain.Acha kudanganya watu, Kama Hamna Hamna tu lakn ni aibu kwa chama kubwa Kama chadema
Sio kwa kumtetea huku huenda ndiye anayekuweka mjini!Waonyeshe bank statement yao kwanza na mengineyo.. hatutaki porojo tunamwamini Spika kwa sasa.
Wameona aibu na kuhisi kudhalilishwa sana. Hawana ujanja is hakuwa noted somewhere hata kama wamelipa. Sasa mikwara ya ndugu na Chama ilitoka wapi wakati jeuri hawana?Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Tunawajua Ma ccm kazi yenu huwa kupongeza tuu kina haja gani ya Spika kutangaza hivyo???yaani wema wa mbunge mmoja imekua kazi ya ofisi ya bunge na kujisifuHakika Mbunge Salim Hassan Turky Mungu amlipe Kwa HURUMA na Upendo Mkubwa aliouonyesha KUOKOA MAISHA YA MTANZANIA wenzake, mbunge wenzake bila kujali itikadi ya kisiasa.Mbunge huyo ni mfano wa kuigwa. Pia shukrani na pongezi za dhati ziende Kwa Wabunge wote na Mh.Spika wao.Mungu ibariki Tanzania.
Lakini japo simuombei mabaya lissu lakin lissu ana mdomo mmbaya sana huwa anawaita MACCM lakini hao MACCM kwa utu wao ndo wamempigania na kumkodishia ndegeMzee Salimu Mungu atakulipa Kwa upend o wako
Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan Turky (CCM), amesema CHADEMA ndiyo waliolipa gharama za ndege iliyomsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwenda Nairobi baada ya yeye kuwadhamini kwa kuwa hawakuwa na fedha taslimu za kulipia wakati huo. CHADEMA wamelipa fedha hizo leo saa sita mchana.
View attachment 588145
Kauli hii imekuja baada ya Spika kusema Salim Hassan ndiye kalipia Ndege iliyoMbeba Lissu.
Habari zaidi soma=>Spika Ndugai: Ndege ya Lissu ilikodiwa na Mbunge wa CCM
Peter Msigwa: Spika Ndugai ona aibu, gharama za ndege ya kumleta Lissu Nairobi imelipwa na CHADEMA
Kwa nini tukubali kuwa CHADEMA wamelipa leo mchana??!Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan Turky (CCM), amesema Chadema ndiyo waliolipa gharama za ndege iliyomsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwenda Nairobi baada ya yeye kuwadhamini kwa kuwa hawakuwa na fedha taslimu za kulipia wakati huo. Chadema wamelipa fedha hizo leo saa sita mchana.
View attachment 588139
kaka mambo ya biashara huyajui, inawezekana mbunge huyu ana credit facility na hiyo kampuni na dhamana ilikuwa kwake, hivyo kama chadema wasingelipa, basi ile kampuni ingemfata huyu mbunge na kumuamuru alipe, hivyo kuokoa roho ya lissu aliona adhamini yeye then baadae chadema wakalipe, nilivyoelewa mie, ni mtazamo wangu tu
Sio kwa kumtetea huku huenda ndiye anayekuweka mjini!
Point hapa ni nini hasa? Wamekataa kumsafirisha na kulipia matibabu yake reference akiwa ni yeye kutibiwa nje kwa miezi kadhaa sio? Sasa mdomo wa nini tena kama yeye alipewa upendeleo? Anyamaze na aache mipasho kwani interpretation ya wengine inamfanya aonekane tofauti! Hatakiwi kuwa na upande pale yule anayemwongoza anapokumbwa na masahibu tena ya kutengenezwa! Nawe unashangilia kizuzu!