Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

Nawapenda sana wanzanzibar.....swala la kumsaidia mtu akipatwa na matatizo wapo mbele mno.
wapo wanawake kule watuwazima (umri umeenda) wanaleaga watoto yatima bila gharama yeyote au ambaye mama kafariki baba yupo ndio maana swala la kutupwa watoto kule hakuna na kama lipo mala moja moja sana.
 
Si tuliambia yale matumizi ya "zaidi ya sh. 100m" ni pamoja na ya usafiri wa ndege! Jamani, jamani, jamani, hapa kuna kitu fursa kwa baadhi ya watu.
Yaani wana maana kwa siku 3 tu Lissu alizokaa Nairobi Hospital CDM imetumia Million 80... Hahahahahaa huyo ndiye Mboweee
 
Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?

Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Acha upuuzi, sasa kwa wakati huo nani alikuwa na dola 9000 za chama mfukoni mwake? Usiwe mpumbavu kama Mwenyekiti wenu
 
Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?

Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.

Unasahau kama ccm ukifika mkutano mkuu wanaomba pesa za kuendeshea pamoja na kuwazulumu watz majengo na viwanja
 
Walikopa kwa nani?

"The greatness of any nation lies in its fidelity to the constitution and strict adherence to the rule of law and above all respect to God" - CJ David Maraga
 
Usifikiri katika dunia ya sasa waweza kuwa na cash ya 3m muda wote kama walivyozea watu wengi. Pesa zinakuwa bank na issue ya Lisu ilitokea ghafla hivyo ilikuwa ni lazima transaction zifanyike next day. Au online. Lakn kwa Mburula kama wewe huwezi jua mambo haya

Asipokuelewa atakuwa kanya bila kutawaza.
 
Tatizo liko wapi hapa? Na ni nini lengo la hoja hii? Au hayakutimia mliyoyadhamiria na mnamwona huyo bwana kawaharibia?
Kama ofisi ya bunge ilikataa kumhudumia shida ya spika inaanzia wapi?
Mlishaanza kuhaha eeh, subirini kisomo angamizi leo usiku ndio akili zitawakaa sawa!

Kisomo angamizi?[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Waonyeshe bank statement yao kwanza na mengineyo.. hatutaki porojo tunamwamini Spika kwa sasa.
 
Wew hyo 18m unayo
Salim Hassan Turky (CCM) Anayo. Chama chetu hakina.
Ruzuku tunayolipwa itakuwa unalipa madeni tunayokopeshwaga na Mwenyekiti.
Maccm hayajui kuwa Mwenyekiti anatudai sana!
 
Nishasema unafiki huuu kama ndiyo reflection ya watu wa Tanzania especially wanaojiita ssm basi tunakazi kubwa sana kuyafikia maendeleo na kwa hii sela ya viwanda kazi ipo kubwa sana. Hivi kweli mnakazana kabisa kubishana na ukweli? Kisa nini? Buku 7!! Eeee! Mungu wasamehe kwani hawajui walitendalo.
 
UKIONA MTU HAJUI TOFAUTI YA INVOICE NA RECEIPT halafu anajileta kichwakichwa kuongelea mambo hayo unajiuliza kwa nini asiende form one hata hapo JAMHURI SEKONDARI ya watoto wa ONE WAY akasome Commerce kwa muda wa ziada kimya kimya?Kuna ushahidi wowote wa receipt EFD kuwa MBUNGE au mbwange wa CCM kalipia?
 
Back
Top Bottom