The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,281
- 49,313
cash money kwa muda ule chap chap si rahisi kupatikana, huyo alichukua dhamana yeye
Nashindwa kuelewa kwanini watu wanashindwa kutofautisha kukopeshwa na kudhaminiwa. Huyu mbunge aliwaruhusu shirika la ndege watoe huduma bila kulipwa pesa na CHADEMA kwa wakati ule, na endapo ingetokea chama kisilipe kwa sababu moja ama nyingine, yeye Mheshimiwa mbunge angelipa.