MADIBA MANDELA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 503
- 398
Dhamana na malipo ni vitu mbali mbali. Hebu sema wewe una ndugu yako anahitaji kupelekwa fasta utaenda benki kumbuka kama pesa za chama signatories ni zaidi ya mmoja je huyo mtu aliyedhamini alikuwa si binadamu? Alivua ule unyama ulioanza kuonekana sasa hivi akavaa utu tuliouzoea ndo akafanya alichofanya. Yawezekana ana ubia na kampuni ya ndege iliyompeleka Tundu.kwa hiyo chama kiliazimwa fedha hizo, basi spika yupo sawa na msigwa yupo sawa. Nyakati ndo tofauti tu
sawa mkuu nimekuelewa ila kapitie video upya utamsikia spika vizuriUmejitetea sana kama kuna sehemu mtu kakuuliza kuhusu chama.
Tumeambiwa Lissu akitoka anaweza asiwe yule tuliyomzoea.Huyu muheshimiwa spika naona toka atoke matibabu India hajawa sawa hata kidogo sijui maradhi hayajamtoka bado.
Feki invoice wamelipiwa na ccm. Vipi mgonjea anaendeleaje?!Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
huna hoja naona unamsemea ndugai kwamba alimaanisha udhamini ndio nineshindwa kukuelewa kama wewe ndio msemaji wake ama laa.Jibu hoja.
Peleka vielelezo polisi, OK?Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
Hivi ccm walishamlipa shigongo t-shirts zake?Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Na kama wewe ni mwerevu utang'amua kuwa CHADEMA wameandika hiyo 'INVOICE' (siyo receipt ya malipo) leo mchana baada ya Spika kuwaanika, vinginevyo hiyo bill ingekuwa kama 'mkopo' toka kwa Mbowe. Angalia hata kwenye invoive jina lililoandikwa na Mhe. Mbowe (MP) na siyo CHADEMA, na kwa kupaniki wamekosea na kuandika amount mbili tofauti.
Mkipewa mrejesho shida! Wakikaa kimya shida!
Jr[emoji769]