Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Aibu sana kwa Ndugai .
Huyo mbunge wa CCM angekataa kuwadhamini hawa vizabizabina. Sasa wameamua kumpeleka Lisu India baada ya kutumbua mamilioni kadhaa huko Nairobi.Walidhaminiwa!
Kukopa ni kitu cha kawaida, hata Companies, Nchi etc etc hukopaaa.
Ni sehemu ya maisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ni mwerevu utang'amua kuwa huyo mbunge ametaka kumwaibisha spika kwa kauli yake kuwa aliyelipia ndege ni mbunge wa ccm.
Kaweka kumbukumbu sawaAnambishia 'supika' wake?
Anamuumbua 'muhishiwa' supika?
Haogopi?
Mkipewa mrejesho shida! Wakikaa kimya shida!Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
Kukopa na kudhamini vinafafana kweli? au Kiswahili ni Shida kwakoLaughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Chadema ni taasisi huwezi chukua pesa km kwenye ATM ya account ya mtu binafsi ni mchakato wa vocha hadi hundi na hatimaye pesa so pesa ya taasisi ni ngumu kutoka siku moja.Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Acha ukilaza hakuna amount tofauti shida ukiwa ccm lazima uwe zuzu hapo usd ikapelekwa kwenye Tshs we underwearNa kama wewe ni mwerevu utang'amua kuwa CHADEMA wameandika hiyo 'INVOICE' (siyo receipt ya malipo) leo mchana baada ya Spika kuwaanika, vinginevyo hiyo bill ingekuwa kama 'mkopo' toka kwa Mbowe. Angalia hata kwenye invoive jina lililoandikwa na Mhe. Mbowe (MP) na siyo CHADEMA, na kwa kupaniki wamekosea na kuandika amount mbili tofauti.
nyie ccm mmechangia sh.ngapi? kwanza ngoja ninyamaze kuyazungumzia haya masuala wakati mgonjwa bado yupo hospitaliWamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
tafuta mtu akueleweshe izo hesabu zimekaajeWamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
Ila ya serikali ndio inatoka vile chadema inavyotaka itokeChadema ni taasisi huwezi chukua pesa km kwenye ATM ya account ya mtu binafsi ni mchakato wa vocha hadi hundi na hatimaye pesa so pesa ya taasisi ni ngumu kutoka siku moja.
Sent using Jamii Forums mobile app