Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Mkuu ninayo zaidi kwa value ya kiwanja na Ukuta hadi kwenye lenterWew hyo 18m unayo
Mkuu ninayo zaidi kwa value ya kiwanja na Ukuta hadi kwenye lenterWew hyo 18m unayo
cash money kwa muda ule chap chap si rahisi kupatikana, huyo alichukua dhamana yeyeWew hyo 18m unayo
kwa hiyo chama kiliazimwa fedha hizo, basi spika yupo sawa na msigwa yupo sawa. Nyakati ndo tofauti tu
Safi sana sisi wote ni watanzania, kusaidiana ni jambo jema, tumuepuke mtu yeyote anayetutenganishaMbunge wa Mpendae, Salim Hassan Turky (CCM), amesema Chadema ndiyo waliolipa gharama za ndege iliyomsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwenda Nairobi baada ya yeye kuwadhamini kwa kuwa hawakuwa na fedha taslimu za kulipia wakati huo. Chadema wamelipa fedha hizo leo saa sita mchana.
View attachment 588139
Yeye aliwadhamini wapi??
Anahusikaje na mambo ya Ndege??
Sijaelewa hii habari
Sikua nimejua kua ni Jibu kwa Kauli potofu ya Spika (habari muendelezo) kwani sikua nimeona hiyo habari ingine, nilidhani ndio habari inaanzia hivyo inajitegemea.Wewe jua aliwadhamini kama jinsi alivyosema.
Usifikiri katika dunia ya sasa waweza kuwa na cash ya 3m muda wote kama walivyozea watu wengi. Pesa zinakuwa bank na issue ya Lisu ilitokea ghafla hivyo ilikuwa ni lazima transaction zifanyike next day. Au online. Lakn kwa Mburula kama wewe huwezi jua mambo hayaLaughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
Mshamba sana wewe! Kutokuwa na cash 18m kwa wakati ule sio kutokuwa na hela. Fedha za chama zina taratibu zake za kutoka na pengine mbunge huyo wa ccm ana mahusiano mazuri na hiyo kampuni ya ndege ndio akaweka dhamana.Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Unajua maana ya kudhamini? halafu so kila wakati uwe na cash mkononi, kumbuka ile ilikuwa dharura.Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Walidhaminiwa!Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.