ngalakeri
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 1,676
- 1,405
Kwani kumdhamini ndio kulipa! Baada hailing and na kauli ya spika kuwa ndege imelipiwa na mbunge wa CCM, hata ingesemekana kuwa chadema wamemkopa mbunge wa CCM bado haihalalishi kauli ya spika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app