Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

yani imefika hatua Ndugai anampigia simu Pombe kumuomba majina ya wabunge wa kuteuliwa kama wajumbe wa kamati mbalimbali.
Hallow! Halooo! Mheshimiwa Rahisi naomba majina ya wabunge ili niwateue kamati ya Almasi na Tanzanite!
Wewe nani?
Mimi Supika Nduguyako!
Ah! Vizuri, ningeshangaa kama ungeteua bila kunijulisha. OK! Mchukue Biteko awe m/kiti, wajumbe wake...!

ACHA nikae KIMYA...!
 
Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?


Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Mbunge mmoja anapata 40mil za mfuko wa jimbo, chama kina ruzuku ina maana walishatafuna hela yote hadi Turky (CCM) kajiweka bond?
 
Unajua maana ya kudhamini? halafu so kila wakati uwe na cash mkononi, kumbuka ile ilikuwa dharura.
Dharura gani wakati CCM walishajipanga na Polepole alishaandika barua ya pole mwezi mmoja kabla. Dharura ilikuwa kwa watu wa Chadema tu lakini yule aliyekuwepo Dodoma Hotel anapanga tukio hawezi kuamini kama ile ni dharura. CCM Mungu anawaona mjue
 
Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?

Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
Yaelekea hujui hata maana ya invoice.. Invoice imeandikwa $9,000 ambayo ni equivalent to 19.5 million TAS. Sio lazima uchangie kila kitu.
Acha umazwazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?


Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.

Si Bora Hata Hao wakuda wanaoendeshwa na fikra Za Akina Msigwa Kuliko Nyie Mlioenda Kuchukua Mkopo Kimya Kimya Mwezi AUGUST
 
Mshamba sana wewe! Kutokuwa na cash 18m kwa wakati ule sio kutokuwa na hela. Fedha za chama zina taratibu zake za kutoka na pengine mbunge huyo wa ccm ana mahusiano mazuri na hiyo kampuni ya ndege ndio akaweka dhamana.
JF sasa hivi imevamiwa nawajinga, wachawi na wenye roho za chuki kama baba yenu na huyo mgogo wa mjengoni

Umenena Vyema . Ni kweli Mh Turky Amesema Ana Uhusiano Mzuri na Hiyo Kampuni Ya Fly Link Iliyotoa ndege Kumpeleka Mh Lissu Nairobi
 
Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?

Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
Maisha haya upigaji hautaisha....mchana tochi usiku magogo!
 
Niseme tu Mheshimiwa Salim Hassan Turky, kwa wema huu ulioufanya ni watu wengi sana wanaokushukuru na kukuombea dua njema, na hakika Mwenyezi Mungu atakulipa inshaallah.
 
Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?

Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni $19,575.
Hiyo ya chini ni equivalent figure in Tad
 
Fedha ya chama haitolewi kama ipo kwenye line ya M-pesa
We ulitaka wakachelewe bank kufanya michakato ya kutoa fedha ya chama ili mgonjwa wachelewe kumpeleka hospital halafu iweje?
Au ili malengo yenu yatimie uzuri imeshalipwa na mumezibwa mikebe yenu,
Kwahiyo chadema, Mbowe au Lowassa hawadhaminiki?
 
Back
Top Bottom